×

Majaliwa Azindua Mitambo Ya Shillingi Billioni 12.4 Kwa Ajili Ya Wachimbaji Wadogo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mitambo kumi ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini yenye thamani wa shilingi bilioni...

READ MORE

Museveni Kuwania Tena Urais 2026 kwa Muhula wa Saba, Bobi Wine Asema Yupo Tayari

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, atawania tena urais kwa muhula wa saba katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mapema Januari 2026,...

READ MORE

Said wa Tabata Mshindi wa Kwanza la Gari la SimBanking 2025

Mwaka umeanza vizuri kwa Said Mbaruku Mohamed, mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka mshindi wa kwanza...

READ MORE

BRELA yatoa msaada kwa Watoto wenye uhitajj

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma imetoa mahitaji katika kituo cha...

READ MORE

Mkutano Mkuu wa TAMWA 2025: Usawa, Heshima na Siasa Safi

Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA) Edda Sanga amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni rais wa kwanza mwanamke ambaye...

READ MORE

Wanachama 280 Wa Chadema Watimukia CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendela kuvuna wanachama wapya kutoka katika vyama vya upinzani, hali ambayo inaongeza idadi ya wanachama katika...

READ MORE

Bajeti ya Trilioni 56 Yapitishwa Bungeni Bila Kupinga! – Video

Dodoma, Juni 24, 2025 – Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 25 Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE) ni Chuo Chikuu Kidogo kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar...

READ MORE

Mbunge Job Ndugai Aibua Vigelegele Bungeni Dodoma – Video

Shangwe la wabunge bungeni jijini Dodoma leo mara baada ya jina la Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kutajwa wakati wa...

READ MORE

NIT na Jeshi la Polisi Watoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Madereva Kibaha

Pwani, 24 Juni 2024: Katika jitihada za kukabiliana na changamoto ya ajali za barabarani, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...

READ MORE

Zaidi ya Bilioni 1 Kuwaniwa Kwenye Mashindnao ya Mystery Multiplier Drop

Je unajua kuwa kwenye mashindano haya ya WAZDAN unaweza kujishindia mpaka Bilioni Moja na zaidi?. Kama hujajua basi ni hivi...

READ MORE

Kesi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini CHADEMA Yaahirishwa Mpaka Julai 10

Leo Juni 24, 2025 Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendesha...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Onyo Kabla ya Mechi ya Watani wa Jadi – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa...

READ MORE

Sanchi Aibuka Kivingine Siku ya Kuzaliwa Baada ya Ukimya

Mrembo maarufu nchini Tanzania, Surraiya Rimoy anayefahamika zaidi kwa jina la Sanchi, leo Juni 24, 2025, ameibuka mitandaoni kusherehekea siku...

READ MORE

Benfica vs Bayern Munich Kupambania Kilele cha Kundi C FIFA Club World Cup

Usiku wa leo, macho ya mashabiki wa soka duniani yataelekezwa kwenye Uwanja wa Bank of America Stadium uliopo Charlotte, Marekani,...

READ MORE

Simba Yatosa Mkutano wa Kabla ya Mchezo, Bodi Yatangaza Kuahirisha

Klabu ya Simba haikuhudhuria mkutano wa kabla ya mchezo (Pre-Match Conference) uliopangwa kufanyika leo Juni 24, 2025  saa 5:30 asubuhi...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Mitambo Ya Uchorongaji Na Vita Vya Utafiti Kwa Wachimbaji Wadogo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Juni 24, 2025 amezindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti kwa wachimbaji wadogo kupitia...

READ MORE

Amin Omar kutoka Misri Kuchezesha Dabi ya Yanga na Simba Kesho

Waamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba wametangazwa rasmi, ambapo mwamuzi wa kati atakuwa Amin...

READ MORE

TPLB Yatangaza Kukabidhi Taji Kesho Baada ya Mechi ya Yanga na Simba

Karim Boimanda, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) amebainisha kuwa sherehe za kukabidhi taji ya ligi...

READ MORE

Rais Samia Amteua John Pima Kuongoza Manispaa ya Tabora

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua John Pima kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora mkoani Tabora akichukua nafasi...

READ MORE