×

Sekretarieti Ya Halmashauri Kuu CCM Yakutana Kufuatilia Mchakato Wa Fomu Za Uteuzi

Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Kada wa CCM Ahadiel Achukua Fomu Kugombea Jimbo la Same Magharibi

Ahadiel Elirehema Mmbughu (kulia) amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi...

READ MORE

Ajali Mbaya Yahusisha Mabasi Mawili Yaliyogongana Uso Kwa Uso Same

Same, Kilimanjaro – Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea leo katika eneo la Sabasaba, kata...

READ MORE

Mgao wa Bilioni 1.5 Unakusubiri na Lucky Rush Leo

Je unajua kuna mzigo mkubwa 1.5 wa mgao ambao unakusubiri wewe tuu uweke dau lako na uingie kwenye mashindano ya...

READ MORE

Rwanda na DRC Watia Saini Mkataba wa Amani Washington

Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimetia saini makubaliano ya kihistoria ya amani jijini Washington, Marekani, katika hatua...

READ MORE

Rais Dkt Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28...

READ MORE

Meridianbet Kuwapa Wapenzi wa Super Heli Fursa ya Kujishindia Samsung A25

Meridianbet imezindua promosheni ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni. Hii ni fursa yako ya kipekee ya kupata...

READ MORE

Rais Ruto Apinga Wito Wa Kujiuzulu, Atoa Changamoto Kwa Upinzani Kuwasilisha Mpango Mbadala

Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amepuuzilia mbali vikali wito wa maandamano unaoendelea kutolewa na waandamanaji pamoja na...

READ MORE

Watu Wanne Wafariki Dunia Lindi Baada ya Kugongwa na Lori – Video

Watu wanne wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya kugongwa na lori katika Kijiji cha Mtegu, Kata ya Sudi,...

READ MORE

Mchungaji Peter Msigwa Achukua Fomu ya Ubunge Iringa Mjini Kupitia CCM

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la...

READ MORE

Bonge la Dada Aachana na Mpenzi Wake “Nilimwacha Mimi!” – Video

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Queen Fraison almaarufu kama Bonge la Dada, kwa sasa yuko kwenye moto wa kuotea...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Juni 2025, amewasili katika Viwanja vya Bunge...

READ MORE

Simba Yamnyemelea Kipa wa JKT, Yakoub Seleman

SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT...

READ MORE

Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue!

MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena. Ni vigumu...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Na Kuhitimisha Bunge La 12 La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa sababu za kuongezeka kwa deni la serikali ni kutokana na fedha...

READ MORE

Kutoka Abuja: Makamu wa Rais Afuatilia Hotuba ya Kufunga Bunge la 12

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, ameungana na Watanzania wengine kwa njia ya mtandao kufuatilia hotuba ya Rais Dk. Samia...

READ MORE

Treni ya Kwanza ya Mizigo ya SGR Yawasili Ihumwa, Dodoma Kutoka Dar

Treni ya kwanza ya mizigo ya reli ya kisasa ya kiwango cha kimataifa (SGR) imewasili leo mchana katika kituo cha...

READ MORE

Vodacom na Stanbic Wazindua Jezi Itakayotumika Kwenye Msafara wa Twende Butiama 2025

Dar-es-Salaam,Juni,28,2025 Kampuni ya Vodacom Tanzania ikishirikana na Benki ya Stanbic imezindua jezi ambayo itatumika kwenye msafara wa Twende Butiama ya...

READ MORE

Msomi Comrade Enock Koola, Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Vunjo

Kilimanjaro: Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Comrade Enock Koola, ambaye ni msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa...

READ MORE

TAMWA: Yapinga Ukatili wa Kijinsia Kuelekea Uchaguzi Mkuu

ROSE Reuben, Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) ameweka wazi kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 inawezekana...

READ MORE