×

Mfalme Charles: Ushirikiano wa Uingereza na Marekani Ni Muhimu Kwa Usalama wa Dunia

Washington, – Mfalme Charles wa Tatu ametoa hotuba muhimu kwa Rais Donald Trump na Bunge la Marekani, akisisitiza umuhimu wa...

READ MORE

Aliyemuua Mpenzi Wake Kwa Kumkataka Vipande Ahukumiwa Kunyongwa – Video

MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa ‘Death by hanging’ Abdalah Mussa maarufu Mr. bluu,...

READ MORE

CCM Yampitisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani, Iringa

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa mgombea wake kwa ajili ya uchaguzi wa Ubunge wa Jimbo la...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Athumani Nyanza Na Kumfukia, Afikishwa Mahakamani – Video

Mfanyabiashara mkazi wa Kigamboni, Rehema Maulid Hassan (42), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka moja la...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Tumaini kwa Wagonjwa wa Hospitali ya Mwananyamala

Wakati maisha yakileta changamoto za afya, faraja ndogo inaweza kuwa na maana kubwa sana. Hilo ndilo lililoshuhudiwa katika Hospitali ya...

READ MORE

Arsenal na Atletico Madrid Kukiwasha Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa

Ni Simeone vs Arteta Jumatano hii kwenye mbinu kali za kuamua matokeo ya mechi ya mkondo wa kwanza wa Ligi...

READ MORE

Anna Komu wa Chadema Afariki Hospitali ya Lumumba visiwani Zanzibar – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepatwa na pigo kutokana na kifo cha Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa...

READ MORE

Video: Mfanyabiashara Mjane Apoteza Milioni 40 kwa Kutapeliwa kwa Simu

Mfanyabiashara mjane, Fatuma Nassoro, mkazi wa Kaliua mkoani Tabora, amepoteza zaidi ya shilingi milioni 40 baada ya kutapeliwa kwa njia...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Apokea Tuzo Kutoka kwa Wafanyabiashara Kariakoo

Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo (JWK) imemtunuku tuzo maalumu Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, kwa kutambua mchango wake mkubwa...

READ MORE

Kafulila Aeleza Changamoto za Sheria ya Utumishi wa Umma, Watumishi Wabovu Wanaongeza Mzigo kwa Walipa Kodi

DAR ES SALAAM: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeibua mjadala kuhusu gharama anayoibeba...

READ MORE

Waziri wa Marekani Atoa onyo: Iran Kutumia Hormuz Kama Silaha ya Nyuklia ya Kiuchumi”

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ametoa onyo kali kuhusu nafasi ya Iran katika usalama wa nishati...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa: PSG Yashinda Dhidi ya Bayern Munich 5-4

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG), wameanza utetezi wao wa kombe lao kwa ushindi wa kifasaha...

READ MORE

Sababu 7 Kwanini Wagonjwa wa Pressure Wanatumia Kitunguu Saumu

High blood pressure (hypertension) ni sababu kubwa ya magonjwa ya moyo, kiharusi na uharibifu wa figo. Kwa muda mrefu, tiba...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 29, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Dar – Picha

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Jaji Chande: Tume Haikutegemea Ushahidi Kutoka Kwa Polisi – Video

Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,...

READ MORE

Gates of Love: Mchezo wa Meridianbet Unaokuletea Burudani na Ushindi wa Kipekee!

Kama wewe ni kijana unayetafuta burudani yenye faida, basi Gates of Love kutoka Meridianbet ndiyo mchezo unaokufaa kwa sasa. Hapa...

READ MORE

Nani Ataingia Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya? PSG Kukiwasha na Bayern Munich Leo Usiku

Jumanne hii katika dimba la Parc des Princes tutaenda kushuhudia vita ya mbinu ya walimu wawili kwenye mchezo wa kwanza...

READ MORE

Familia ya Ashlee Yadai Majibu Ya Uchunguzi wa Kifo na Vitu Vyake

Pete ya Uchumba ya Ashlee Jenae bado haijapatikana, licha ya kwamba mwili wake umefikia familia yake. TMZ imebaini kuwa ingawa...

READ MORE

Yas Yazindua Kampeni Mpya ya Zingatia Mtandao wa Viwango

28 Aprili 2026, Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua rasmi kampeni yake mpya ya ‘Zingatia Mtandao...

READ MORE