×

Urusi na Ukraine zakubaliana kusitisha vita baharini

Marekani imefikia makubaliano tofauti na Ukraine na Urusi, ambapo nchi hizo zimekubali kusitisha mashambulizi baharini na dhidi ya miundombinu ya...

READ MORE

Ahmed Ally: Tiketi za Constantine Kutumika Dhidi ya Al Masry ya Misri

Klabu ya Simba , imewatangazia mashabiki wake walionunua tiketi kuelekea mchezo wao wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho...

READ MORE

Benki ya CRDB Yakabidhi Madarasa na Vyoo kwa Shule ya Msingi Misufini

Katika muendelezo wa kusheherekea miaka 30 ya kuleta mabadiliko katika jamii, Benki ya CRDB imekabidhi madarasa mawili na vyoo sita...

READ MORE

Msajili Aitwanga Barua CCM, Ataka Maelezo Ya Maneno Ya Makala – Video

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewajibu Chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua Katibu wa...

READ MORE

Mwananchi Amshukuru Mkaguzi wa Polisi kwa Msaada wa matibabu

Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa...

READ MORE

Morocco Yafuzu kombe la Dunia la FIFA 2026, Yaipiga Stars 2-0

Timu ya taifa ya Morocco imekuwa Taifa la kwanza kufuzu kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 2-0...

READ MORE

Waziri Mhagama Awasilisha Ujumbe Wa Rais Samia Kwa Rais Wa Zambia

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama Machi 24, 2025 amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 26, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Video: Mfanyabiashara Adakwa Akidaiwa Kutapeli Kwenye Upatu na Vikoba

Wananchi mbalimbali Machi 24, 2025  wamefika katika Kituo cha Polisi Mbweni ambako mwanadada aitwaye Tumaini almaarufu Hope Brand anashikiliwa kwa...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Atenguliwa, Kasanda Achukua nafasi Yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Rachel Stephen Kasanda kuwa Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

Waandishi Wa Habari Wauwawa Kwa Shambulio La Israel

Shirika la utangazaji la Al Jazeera limeripoti leo kuwa mwandishi wake wa habari anayefanya kazi na moja ya chaneli zake...

READ MORE

Mbowe Aonekana hadharani Msibani Kwa baba mkwe wa Waziri Mwigulu

  MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameonekana hadharani leo Machi 25, 2025 baada ya...

READ MORE

TRC Yaanza Mchakato Ujenzi Wa Reli Ya Kisasa Ya SGR Mkoani Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Jumanne, Machi 25, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Hapa

Jumanne ya kutimiza ndoto zako na Meridianbet imefika. Ingia kwenye akaunti yako na uweze kusuka jamvi lako la ushindi hapa...

READ MORE

VETA Yafadhili Mafunzo kwa Wanawake 3000 Jijini Dodoma

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetoa ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi kwa wanawake 3000 jijiji...

READ MORE

Wasomi UDSM Wafanya Kongamano la Kuboresha Ubunifu wa Kibiashara

Dar es Salaam, 25 Machi 2025: Wasomi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na wadau wake leo wameanza kongamano...

READ MORE

Waalimu Wa Sayansi & Hisabati Watakiwa Kutumia Mbinu Za Kisasa Katika Ufundishaji

WALIMU wa Shule za Sekondari wanaofundisha masomo ya Sayansi na Hisabati,wametakiwa kutumia mbinu za kisasa zinazozingatia mabadiliko ya sayansi na...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Lango La Utalii Hifadhi Ya Mkomazi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 25, 2025 amezindua lango la kuingia na kutoka watalii la Ndea kwenye Hifadhi ya...

READ MORE

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Apotea, Polisi Wamsaka

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa Daniel Chonchorio, Mkazi wa Nyakato jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika...

READ MORE

Wananchi wa Nkasi Wampa Tundua Lissu zawadi ya Samaki

Wananchi wa Nkasi Kaskazini wamemkabidhi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundua Lissu zawadi ya samaki tarehe 24...

READ MORE