×

Msama Aachiwa Huru Kesi Ya Kughushi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Kinondoni imemuachia huru Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama baada ya upande wa Jamhuri kushindwa...

READ MORE

Uhamiaji Yatakiwa Kuimarisha Udhibiti Wa Wahamiaji Haramu

Idara ya Uhamiaji nchini imetakiwa kuimarisha udhibiti wa Wahamiaji haramu na baadhi ya wageni wanaoingia na kufanya biashara haramu huku...

READ MORE

WHO Yaitaka China Kueleza Chanzo Cha Uvico 19

Shirika la Afya Ulimwenguni – WHO bado linasubiri ushirikiano kamili kutoka kwa serikali ya China ili kufafanua chanzo cha janga...

READ MORE

Rais Ruto Akiri Mapungufu Ya Vikosi Vya Usalama

Rais wa Kenya, William Ruto, jana Jumanne amekiri ukiukaji unaofanywa na vikosi vya usalama vya Kenya, kufuatia maandamano dhidi ya...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yashuka Dizeli, Petroli Kutumika kuanzia leo Jan 01, 2025

Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano, tarehe 1 Januari, 2025, saa 6:01 usiku. Wafanyabiashara wa rejareja...

READ MORE

What makes a world-class striker in football?

A world-class striker in football embodies a blend of 3 things: physical prowess, technical skill, mental acuity, and tactical understanding....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 1, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Taifa Akiwatakia Heri Ya Mwaka Mpya Wa 2025 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwautubia Watanzania kwa Salamu za Mwaka Mpya Ikulu ndogo...

READ MORE

CRDB Yafungua matawi Mapya Mugango, Sirari Mkoani Mara

Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya...

READ MORE

Majaliwa: Dkt. Samia Ameiheshimisha Tanzania Matumizi Ya Nishati Safi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiheshimisha Tanzania katika hamasa ya matumizi ya nishati safi...

READ MORE

Wanachadema Walioshitakiwa Kwa Mauaji Waachiwa Huru

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imewaachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo  akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George...

READ MORE

Korea Kusini Kuomboleza Vifo 179 Siku Saba

Baada ya ajali ndege iliyotokea juzi Jumapili, Kaimu Rais wa Korea Kusini Choi Sang-mok ametangaza siku saba za maombolezo ya...

READ MORE

Bittech Yawashika Mkono Watoto Yatima Magomeni, Dar

Kama ilivyo ada katika kuendeleza uhusiano na jamii kampuni ya Bittech leo hii wakishirikiana na KMC FC yawagawa Madaftari, Penseli,...

READ MORE

Maandalizi Yakamilika, Unasubiriwa Wewe Tu Na Familia Yako, Mkesha Wa Funga Mwaka Arusha – Picha

Maandalizi yakielekea kwenye hatua za mwisho kwenye barabara za makutano ya Mzunguko wa Mnara wa saa (Clock Tower) kuelekea kwenye...

READ MORE

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter Kuzikwa Januari 9, 2025

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter, aliyefariki dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 100, atazikwa tarehe 9 Januari...

READ MORE

Polisi Arusha Wajipanga Kuimarisha Usalama Mkesha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu,...

READ MORE

Bondia Afariki Akipigana Dar, Mama’ake Alia Akisimulia – Video

Babu wa bondia Hassan Mgaya aliyefariki dunia hivi karibuni amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Hassan alipata majeraha kichwani....

READ MORE

Kikosi cha Kilimanjaro Stars kilichoitwa kujiandaa Kombe la Mapinduzi 2025

Kocha wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ally ambaye amekabidhiwa mikoba ya kukinoa Kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoingia kambini kujiandaa...

READ MORE

Ukraine na Russia zabadilishana wafungwa wa kivita

Ukraine na Russia, zimefanya mabadilishano mapya ya wafungwa wa kivita Jumatatu, huku pande hizo mbili zikiwarejesha nyumbani jumla ya wafungwa...

READ MORE

Utafiti Unaonesha Binadamu Anapoteza Siku 26 Kila Mwaka Kwa Kutofanya Lolote

JE umeshawahi kujiuliza kwa mwaka ni muda kiasi gani unaoupoteza kutokana na kutofanya chochote? Mathalani, mtu anakusubirisha tu sehemu halafu...

READ MORE