×

Trump Atoa Wito wa Sitisho la Mapigano katika vita vya Ukraine

Rais mteule wa Marekani Donald Trump Jumapili ametoa wito wa sitisho la haraka la mapigano na mazungumzo kati ya Ukraine...

READ MORE

Rais Mwinyi:Tufanye Mazoezi Kuimarisha Afya Zetu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Tafiti zimeonesha kuwa Mazoezi yanasaidia kwa...

READ MORE

Jeshi la Burkina Faso lamteua Waziri Mkuu mpya

Siku moja baada ya kuvunja Serikali bila kutoa sababu yoyote, Jeshi tawala la Burkina Faso limemteua Waziri Mkuu mpya. Rimtalba...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Desemba 9, 2024

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO . Karibu kusoma kurasa za magazeti ya Leo kupitia @255globalradio na kufuatilia uchambuzi kupitia kipindi...

READ MORE

Kampuni Yenye Internet Ya Kasi Zaidi Nchini Yatajwa na Kupewa Tuzo

Kampuni ya Mawasiliano ya Yas Tanzania imeshinda tuzo ya kuwa kampuni namba moja ya mawasiliano yenye mtandao wa Internet wenye...

READ MORE

Polisi Wawatembelea Mahabusu Wanawake Gereza Kuu la Arusha

Mtandao wa Polisi Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na dawati la Jinsia na watoto katika kuelekea kilele cha...

READ MORE

Rais Amteua Profesa Janabi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba

RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mohamed Yakub Janabi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Mawaziri, Manaibu na Mabalozi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Jumapili ya Kibabe na Meridianbet Imefika

Je unajua siku ya leo unaweza kuondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Meridianbet?....

READ MORE

Amani Wa TRA Aliyeuawa Akidhaniwa Mtekaji Ameacha watoto 4, Mjomba Wake Afunguka – Video

Mjomba wa marehemu Amani Simbayao, Halid Amani amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa marehemu ameacha watoto 4, wa kwanza...

READ MORE

Kasino Yenye Jackpot Kubwa Ndani Yake

Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awataka Wahandisi Wazingatie Maadili

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa awataka wahandisi wote nchini wazingatie miiko na maadili ya taalum hiyo ikiwemo kuitekeleza miradi ya ujenzi...

READ MORE

Serikali Yaahidi Kuendelea Kushirikiana na Wafanyabiashara Kutatua Changamoto

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, amesema serikali itaendelea kushirikiana na wafanyabiashara na wawekezaji kutatua changamoto...

READ MORE

Bata la Disemba Haijawahi Kutokea, Leaders Club Kama Mamtoni, Twanga, Weusi, Char4Prezzy Wanogesha!

Tamasha kubwa la Kula Bata lililopewa jina la Bata la Disemba si mchezo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tamasha hilo...

READ MORE

Waziri Ulega Ashukuru Wakazi wa Mkuranga Kupatiwa Huduma ya Afya ya Macho Bure

Mkuranga, Pwani – Taasisi ya Bilali Mission Tanzania kwa kushirikiana na Kampuni ya Yas Tanzania wamefanikisha zoezi la utoaji wa...

READ MORE

 Maroli Matatu Yagongana Eneo la Chinangali One Barabara ya Dodoma – Morogoro

Ajali kubwa imetokea leo Jioni katika eneo la Chinangali One, barabara kuu ya Dodoma – Morogoro, baada ya maroli matatu...

READ MORE

Aweso Afanya Mazungumzo na Benki ya Exim ya Korea, Anadi Miradi ya Maji

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. AWESO (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo ilitoa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Benki Kuu Ya Tanzania, Mwisho wa maombi Desemba 19, 2024

Benki Kuu ya Tanzania ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa chini ya Sheria ya Benki Kuu...

READ MORE

John Mongella Awatembelea Wagonjwa Waliopatwa na Tukio la Kumwagiwa Tindikali Kasulu

Ndugu Thomas Omary na mkewe, Bi. Verian Elias, waliopatwa na tukio la kumwagiwa tindikali huko Kasulu, Kigoma, wakipokea faraja kutoka...

READ MORE