×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 25, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Trump aahidi kuzungumza na Putin hivi karibuni kuhusu vita vya Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Alhamisi kwamba hivi karibuni atazungumza na mwezake wa Russia Vladimir Putin ili kujaribu kumshinikiza...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi na uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...

READ MORE

Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2024 Yapo Hapa – Video

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed ametangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka...

READ MORE

ACT Yajibu Kuhusu Kuwa CCM B, Ushindi Wa Lissu Ni Ngumu – Video

Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema chama hicho kiliundwa kutokana na minyukano iliyotokea kwenye vyama vingine vya...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Kutoa Uamuzi Dhidi ya Kesi ya Dkt. Slaa Jumatatu

Jumatatu Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi mdogo juu ya kesi ya Dk. Slaa aliyewahi kuwa...

READ MORE

Polisi Yatoa taarifa kuhusu kupatikana kwa mtoto Merysiana Melkzedeck

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa taarifa kuhusu kupatikana kwa mtoto Merysiana Melkzedeck mwenye umri wa miezi saba, ambaye...

READ MORE

Nafasi ya Kuwa Milionea Unayo Leo Ijumaa

Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao...

READ MORE

Jokate Mwegelo Apongeza Ufaulu wa Shule Jina Lake

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amepongeza wanafunzi, walimu, na uongozi wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, kufuatia mafanikio...

READ MORE

Lissu Atoa Masharti Kwa Mdee na Wenzake Kurejea Chadema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa yuko tayari kuwapokea wabunge 19 wa...

READ MORE

Kutana Na Mwanafunzi Kipanga Aliyepiga Divisheni I Ya Pointi 7 Mtokeo Ya Form 4 – Aeleza Kwa Hisia – Video

Moses Mwaijande ni mwanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Feza aliyeng’ara kwenye matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa hapo jana,...

READ MORE

Mtoto Aliyechukuliwa na Wasiojulikana Apatikana – Video

Habari zilizotufikia hii leo Januari 24, 2025 zinadai kuwa presha waliyokuwa nayo familia ya wanandoa Sosthenesi Melkizedeki Mrema na Joana...

READ MORE

NMB Mlipa Kodi Mkubwa Zaidi na Bora Zaidi Tanzania

Katika kuendelea kuwa mshirika mkubwa wa maendeleo nchini, Benki ya NMB imetunukiwa tuzo 3 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

READ MORE

Mambo Yazidi Kunoga, Fundi Gereji wa Madale Naye Aibuka na Mil. 5 ya Magift ya Kugift

Dar es Salaam 24 Januari 2025: Kampuni ya mtandao wa simu ya Yas Tanzania leo, imekabidhi zawadi kwa washindi wa...

READ MORE

Uhamiaji Yathibitisha Kuwatunuku Uraia Wachezaji 3 Wa Singida Black Stars

Idara ya Uhamiaji imetoa ufafanuzi kuhusu sakata la wachezaji watatu wa Singida Black Stars ambao ni Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana),...

READ MORE

AU Yatoa wito kwa Trump Kufikria tena Uamuzi wake wa Kuiondoa Marekani WHO

Umoja wa Afrika (AU) jana Jumatano Januari 23, 2025 umetoa wito kwa Rais mpya wa Marekani, Donald Trump, kufikria tena...

READ MORE

Takata na Mshiko wa Maana Leo Hii

Alhamisi ya leo mechi kali za Europa zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua...

READ MORE

Meridianbet Mikakati Kibao 2025 Baada Ya Kufanikiwa 2024

Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI...

READ MORE

Jeshi la Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama Vya Siasa Bila Kujali Itikadi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba...

READ MORE

ZEEA Yaanza Kutoa mikopo Kidijitali, Maafisa Washauriwa Kuwa Makini

MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata...

READ MORE