×

Ubunifu wa Kipekee Ndani ya Lite Your Imagination

Ulikuwa usiku wa kipekee na wa kihistoria kwa wadau wa masoko, ubunifu na ulimwengu wa filamu ukiongozwa na star wa...

READ MORE

Watalii Sasa Warahisishiwa Usafiri wa Moja kwa Moja Kutoka Paris Mpaka Mkoa wa Kilimanjaro

Safari ya Paris-Kilimanjaro itafanyika mara tatu kwa wiki, ikiwa na safari za kurejea siku tofauti, kupitia Zanzibar. Njia hii itahudumiwa...

READ MORE

Benki ya Stanbic Yatoa Tsh Mil 80 Kusaidia Matibabu ya Kuokoa Maisha ya Watoto Wenye Matatizo

Stanbic Bank yatoa TZS milioni 80 kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Heart Team Africa Foundation kusaidia...

READ MORE

Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu, Avishauri Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Mkuu wa Kamandi ya vikosi chini ya Makao Makuu, Meja Jenerali Iddi Said Nkambi amevishauri Vyombo vya Ulinzi na Usalama,...

READ MORE

Jumatatu Safi na Meridianbet Hii Hapa

Kama kawaida baada ya wikendi kuisha, sasa ni wiki nyingine imeanza na ukiwa na Meridianbet ni furaha tuu na tabasamu...

READ MORE

Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Wanaojihusisha na Utoroshaji Madini – Dk Kiruswa

Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesema Serikali haitosita kuwachukulia hatua kali Wachimbaji wote na wafanyabiashara wa madini ambao...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Jeshi la Polisi Kumkamata Niffer Kuchangisha Michango ya maafa ya Kariakoo kinyume na taratibu

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kumkamata mfanyabiashara maarufu nchini Niffer...

READ MORE

Mwili wa Mwanamuziki King Kikii Waagwa Viwanja vya Leaders, Kinondoni Dar – Video

Mwili wa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu kwa jina la King Kikii unaagwa...

READ MORE

Moalin Atambulishwa rasmi kama mkurugenzi wa ufundi wa Yanga

ABDULHAMID Moalin ametambulishwa kuwa bosi mpya ndani ya kikosi cha Yanga kwene eneo la masuala ya ufundi kwa msimu wa...

READ MORE

Msemaji wa Hezbollah Auawa katika shambulizi la Israel mjini Beirut

Msemaji wa Hezbollah, Mohammed Afif ameuawa katika shambulizi la Israel mjini Beirut amethibitishwa na mkuu wa wanajeshi wa Lebanon. Shambulio...

READ MORE

Karikoo: Waziri Mkuu kuongoza kutoa heshima za mwisho kwa waliofariki Mnazi Mmoja, Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa miili 13 ya waliothibishwa na Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

RC Makonda Awaombea Kheri Manusura Ajali Ya Kuporomoka Ghorofa Kariakoo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ameongoza maelfu ya wakazi wa Mkoa wa huo kuwaombea Kheri manusura wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 18, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Kuhusu Kariakoo ”13 Wafariki Dunia, 80 Wameokolewa” – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini...

READ MORE

Maliza Wikendi Yako na Meridianbet kwa kuondoka na pesa leo

Je unajua kuwa siku ya kuondoka na pesa za maana ni leo?. Timu kibao zipo dimbani kuchuna vikali kwaajili ya...

READ MORE

Ghorofa Lililoporomoka Kariakoo Juhudi  za Uokoji Bado Zinaendelea Muda Huu…

Kufuatia tukio baya la kuanguka kwa jengo la ghorofa Mtaa wa Kongo na Mchikichi jijini Dar jana na kuua na...

READ MORE

Mchengerwa: Rufaa 5,589 Za Wagombea Zimekubaliwa uchaguzi wa serikali za mitaa – Video

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,  Mohamed Mchengerwa amesema kati ya rufaa...

READ MORE

#Breaking: Uokoaji Unaendelea, RC Chalamila Asema ‘Tumefanikiwa Kutoa Watu Saba’- Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema zoezi la uokoaji kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 17, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Katika Uwanja wa Ndege wa Galeão Air Force Base, Rio de Janeiro nchini Brazil

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili katika uwanja wa ndege wa Galeão Air Force...

READ MORE