×

Stanbic Yatoa Misaada Wodi ya Wajawazito Hospitali ya Mwananyamala

Katika hatua ya kuimarisha huduma za afya, hasa kwa akina mama na watoto wachanga, Benki ya Stanbic Tanzania imechangia vifaa...

READ MORE

Wanafunzi Wa Tabora Boys Watembelea Banda la TEA

Wanafunzi na wadau mbalimbali wakiendelea kujitokeza ili kuongeza uelewa juu ya utendaji wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika Maadhimisho...

READ MORE

Kampuni ya Nyota Yazindua Rasmi Casino Mtandao Inayoitwa “Nyota Casino”

Katika harakati za kuwakwamua vijana kiuchumi, kampuni ya Nyota imezindua rasmi Casino mtandao inayoitwa “Nyota Casino” ambayo mtumiaji atacheza michezo...

READ MORE

kurasa za Magazeti ya leo Oktoba 10, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

DHL na TotalEnergies Zatangaza Ubia Mkubwa wa Kibiashara

Oktoba 11, 2024 – DHL Express, kampuni inayoongoza duniani kutoa kwa huduma za haraka za kimataifa, na TotalEnergies Marketing Tanzania...

READ MORE

Harmonize Na Poshy Wameachana Rasmi, Dayna Nyange Atia Neno – Video

Msanii wa Muziki wa Bongofleva nchini Dayan Nyange amefunguka kupitia kipindi cha Bongo 255 na kueleza kuwa yeye ndiye msanii...

READ MORE

Spika Tulia Ahudhuria hafla ya kuadhimisha Miaka 135 ya Bunge la Hungary

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia...

READ MORE

Tanzania, Ufini Kushirikiana Teknolojia Za Kisasa Sekta ya Misitu

Tanzania itapata fursa zaidi ya kuboresha sekta yake ya misitu inayochangia kwa sasa asilimia 4.2 ya Pato la Taifa (GDP),...

READ MORE

Manchester City Wapo Kama Hawapo

Kipindi hiki ligi zimesimama kupisha michuano ya kimataifa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza umekaa kimtego mpaka sasa, Ambapo watu...

READ MORE

Rubani wa shirika la ndege la Turkish Airlines afariki ndani ya Ndege

Rubani wa shirika la ndege la Turkish Airlines amefariki dunia baada ya kuugua ghafla akiwa kwenye ndege kutoka Seattle kwenye...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Ampongeza Makonda kwa Ubunifu wa kuitangaza Arusha

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Oktoba 09, 2024 amempongeza Mkuu wa...

READ MORE

Meridianbet Yaja na Wolf Land Hold and Win!!

Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya...

READ MORE

Wezi Waliompora Mstaafu Mamilioni ya Fedha Wakiona cha Mtema Kuni

Dada mmoja aitwaye Khadija kazi yake ilikuwa rahisi tu, kazi hiyo ilimbidi tu kujifanya kama anauza mkufu wa dhahabu kwa...

READ MORE

Kesi ya Kumuondoa Gachagua Madarakani Yatua Bunge la Seneti

BUNGE la Seneti nchini Kenya litaanza kujadili hoja ya kumuondoa ofisini Naibu wa rais, Rigathi Gachagua siku ya Jumatano na...

READ MORE

Zuhura Yunus Akagua Maandalizi Kilele Cha Mwenge, Mwanza

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus mapema Leo, Oktoba 9, ametembelea...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Mradi wa Upanuzi wa maji ya Ziwa Victoria

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amefanya ziara ya kikazi mkoani Tabora tarehe 8...

READ MORE

Majimbo 14 ya Marekani yaishtaki TikTok kwa maudhui yanayodhuru afya ya akili ya vijana

KAMPUNI ya TikTok inakabiliwa na kesi mpya zilizowasilishwa Jumanne na majimbo 13 ya Marekani na jimbo la District of Columbia,...

READ MORE

Majaji Mahakama ya Rufaa Kutoa Ushauri Kuiwezesha WCF Kuendelea Kuwa Himilivu

Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuendelea kutafuta maoni kuhusu...

READ MORE

Wananchi Maswa Wafurika Kumsikiliza Balozi Dkt. Nchimbi

Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mji wa Maswa wakifuatilia na kushiriki kwa makini mkutano wa Katibu...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje Awasili Finland Kwa Ziara ya Kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Finland kwa ziara...

READ MORE