×

Mfumo wa Kidigitali wa Airpay na ZEEA Kuwarahisishia Wajasirimali Kupata Mikopo kwa Urahisi

KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na...

READ MORE

Madaktari wa JKCI waitwa zambia kufanya upasuaji wa Moyo

Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afya umeendelea kuipaisha Tanzania ambapo sasa madakati bingwa wanne...

READ MORE

Raia Samia Atembelea Kituo Cha Ununuzi wa Mahindi Soko Kuu Mbinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo...

READ MORE

Katimba: Daraja La Jangwani Suluhisho La Mafuriko Dar Es Salaam

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni...

READ MORE

Yanga Yaondoka na Pointi tatu Dhidi ya Kengold katika Dimba la Sokoine, Mbeya

TIMU ya Yanga leo imeondoka na pointi tatu dhidi ya Kengold  katika dimba la Sokoine, Mbeya kwenye mchezo wa Ligi...

READ MORE

Nyakua Mkwanja Leo Kupitia Europa League

Leo unaweza kunyakua maokoto ya kutosha kupitia michezo ya Uefa Europa League ambayo inachezwa Jumatano ya leo, Hivo unaweza kubashiri...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Kituo Cha Manunuzi Ya Mahindi NFRA Makita, Ruvuma – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitembelea kituo cha Manunuzi ya Mahindi NFRA Matika Mbinga...

READ MORE

Waziri Mkuu Ateta Na Mwenyekiti Wa Bodi Ya Citibank

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imekuwa inafanya kazi na benki ya Citibank ya Marekani kwa zaidi ya miaka 35...

READ MORE

A – Z Dalali Ayekutwa Amefariki Ndani Ya Range La Imamu, Harufu Yawashtua Majirani Siku 3 Akitafutwa – Video

Baadhi ya mashuhuda wamesimulia jinsi tukio la mwanaume aliyejulikana kwa jina la Seif Hamad ‘Kikeri’, dalali wa magari, mkazi wa...

READ MORE

Simba Queens wamtambulisha Mrithi wa Mgunda

Uongozi wa Klabu ya Simba SC imemtambulisha Yussif Basigi kuwa Kocha mkuu ndani ya kikosi cha Simba Queens ambacho kilikuwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aungana Na Wakuu Wa Nchi Na Serikali Ufunguzi Wa Mkutano Wa UNGA 79

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa Septemba 24, 2024 ameungana na wakuu wa nchi na Serikali katika ufunguzi wa Mkutano wa 79...

READ MORE

Rais Samia Atikisa Nyasa, Azindua Mradi na Kuanzisha Mwingine

Maelfu ya wananchi wa Mji wa Mbamba Bay, Wilaya ya Nyasa, walijitokeza kumlaki na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Shule ya Sekondari Kikaro Yapokea Msaada wa Vifaa vya Elimu Kutoka Stanbic Bank

Benki ya Stanbic imetoa madawati, viti, matangi ya maji, miche ya miti na kukarabati madarasa katika Shule ya Sekondari Kikaro,...

READ MORE

Rais mpya wa Sri Lanka avunja bunge na kumteua waziri mkuu mwanamke

Rais mpya wa Sri Lanka Anura Kumara Dissanayake alilivunja bunge Jumanne na kuitisha uchaguzi wa bunge ndani ya chini ya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atembelea Kanisa La Katoliki Abesia Ya Peramiho Mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitembeleakanisa katoliki Abesia Ya Paramiho Mkoani Ruvuma, Septemba 24,...

READ MORE

Jinsi Nilivyopata Zabuni ya Mamilioni Kutoka Serikalini Kwa Urahisi Kabisa

Jina langu ni Raya, Leila, mmiliki na wakala wa kampuni ya usafi ambayo pia huwaunganisha waajiri na wafanyikazi wa majumbani...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Septemba 25, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Orodha ya Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Yapo Hapa, Watakiwa Kuripoti Moshi

Tangazo la kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania. Mkuu wa Jeshi la...

READ MORE

Bibi Wa Miaka 74 Auawa Kikatili Kwa Mapanga – Mbunge Shigongo Afika Kutoa Pole Kwa Familia

Sarah Petro (74) mkazi wa Kijiji cha Magulukwenda kitongoji cha Mizorozoro Kata ya Kalebezo wilayani Sengerema Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Vituo vya Huduma za Matengenezo kwa Wateja Wake 

Dar es Salaam – 25 th September 2024: Vodacom Tanzania Plc imezindua vituo vya huduma za matengenezo kwa ushirikiano na...

READ MORE