×

Rais Ruto Avunja Baraza la Mawaziri, Amfuta Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Kenya, William Ruto amelivunja Baraza lake la Mawaziri na amewafuta kazi mawaziri wote isipokuwa Katibu Mkuu wa Baraza...

READ MORE

Yanga Kumenyana na Vital’O ya Burundi, Azam dhidi ya APR Ligi ya Mabingwa

DROO ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekamilika ambapo Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano hiyo ya CAFCL...

READ MORE

NIRC Yakabidhi Mradi Wa Umwagiliaji Wa Zaidi Ya Bilioni 5 Kwa Mkandarasi Njombe

  TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imemkabidhi mkandarasi kazi ya ujenzi mradi wa umwagiliaji katika Kijiji cha Itipingi Mkoani...

READ MORE

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Atangaza Nafasi za Kazi 23

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha...

READ MORE

Mtoto wa Faiza Ally Afunguka Mazito Juu ya Mama na Baba Yake – Video

 Mtoto wa mwanadada mjasiriamali na staa wa mitandaoni, Faiza Ally @iamfaizaally, aliyezaa na mkongwe wa Bongo Fleva na mwanasiasa...

READ MORE

Yanga Wafanya Mazoezi Kwenye Fukwe za Coco Beach

CLATOUS Chama ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Simba tayari yupo kambini na wachezaji wengine kwa ajili ya...

READ MORE

Amsons Group ya Tanzania Yainunua Bamburi ya Kenya na Kuweka Rekodi Mpya

Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania iliyojikita kwenye sekta za nishati, ujenzi, chakula na usafirishaji imeinunua Kampuni ya Bamburi Cement...

READ MORE

Mashindano ya Gofu Kumuenzi Marehemu Lina Nkya Kutimua Vumbi Jijini Arusha

Baada ya Morogoro mwezi Aprili mwaka huu sasa ni zamu ya Arusha katika viwanja vya Gymkana ambapo mashindano ya Gofu...

READ MORE

Chimbo la Utajiri ni Moja Tu, Meridianbet Kasino

Tanzania kuna migodi mingi sana, lakini mgodi mmoja tu unatoa pesa balaa, huhitaji kuwa chawa wa bosi ndio ushinde bali...

READ MORE

Mshambuliaji wa mabao John Bocco Aipa Jeuri JKT Tanzania

UWEPO wa mshambuliaji wa mabao John Bocco ndani ya kikosi cha JKT Tanzania umeipa jeuri timu hiyo kwa kutuma salamu...

READ MORE

Tigo Na Wadau Wake Wazindua Huduma Mpya Bima Ya Mizigo Kupitia Simu za mkononi

Dar es Salaam, 11 Julai 2024 – Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo Tanzania, imetangaza ushirikiano wa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Mvomero Atangaza Nafasi za Kazi 21, Mwisho wa kutuma maombi Julai 16

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa...

READ MORE

Muigizaji Clooney Atoa Wito kwa Biden Aache Kugombea Urais

Muigizaji mkongwe wa Marekani George Clooney ametoa wito kwa Rais Joe Biden kujitoa kwenye mbio za kuwania awamu ya pili...

READ MORE

Wito Wa Kuwasilisha Miswada Katika Tuzo Ya Kiswahili Ya Safal Ya Fasihi Ya Afrika 2024

Dar es Salaam, Tanzania 11 Julai 2024… Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika leo imetangaza wito wa...

READ MORE

England Yatinga Fainali EURO 2024, Kukipiga na Hispania Julai 15

England imeifuata Hispania kwenye fainali ya kombe la Mataifa Ulaya, EURO 2024 kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Uholanzi katika...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 11, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu KCMC Ashinda Nissan Dualis

Benki ya CRDB imemtangaza Hussein Hamisi Hamadi (23) ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCMC kuwa mshindi wa pili...

READ MORE

Cheza Sloti ya 100 Super Icy, Kasino ya Ushindi

Unyama Upo Kasino tu, Jiandae kuibuka na Mamilioni kwa kucheza mchezo wa Sloti ya 100 Super Icy, unapatika kwenye Kasino...

READ MORE

DCP Ng’anzi: Ipo Siku Ndoto ya Tanzania Bila Ajali Kwa Mwaka Itawezekana

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania DCP. Ramadhani Ng’anzi amesema tatizo la ajali za barabarani bado ni kubwa...

READ MORE

Watanzania Wahimizwa Kuchukua Hatua za Kuzuia Magonjwa ya Zuonotiki

Serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ikishirikiana na Shirika la Maendeleo ya...

READ MORE