×

Fainali ya FA: Yanga vs Azam FC kupigwa Zanzibar

Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB ambayo itawakutanisha Mabingwa watetezi, Yanga Sc dhidi ya Wanalambalamba, Azam Fc...

READ MORE

Samsung Tanzania Yaunga Mkono Serikali Ueneaji wa Matumizi ya Simu Janja Nchini

Kwa mujibu wa ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Watanzania wengi zaidi wamehamia kwenye matumizi ya vifaa vya kisasa...

READ MORE

Dankidanki Auawa Na Kukatwa Sehemu nyeti Kwa Kosa La Kumlawiti Mgonjwa – Video

Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Wakudankidanki, mkazi wa Kinondoni Shamba, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanya kitendo cha kinyama...

READ MORE

Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Madiwani Yenye Mivutano inayokwamisha Maendeleo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani...

READ MORE

Waziri Ummy Apiga Marufuku Uuzaji Wa Dawa Ya Amoxicillin Kwa Watoto

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa onyo kwa baadhi ya wahudumu wa afya wanaouza dawa za Amoxicillin DT kwa watoto...

READ MORE

Video: Maelfu ya raia nchini Iran Wauaga Mwili wa Aliyekuwa Rais wa nchi Hiyo

Maelfu ya raia nchini Iran wamelizunguka Jeneza lililokuwa limeubeba mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki Dunia...

READ MORE

Michael Cohen akiri kumwibia Donald Trump dola 60,000

Michael Cohen, aliyekuwa mshirika wa kisiasa wa Donald Trump, alikiri siku ya Jumatatu kuiba dola 60,000 kutoka kwenye utajiri mkubwa...

READ MORE

Tigo Hakupoi, Yaja Na Jipya: Sako kwa Bako

Afisa mkuu wa Biashara wa Tigo, Isaack Nchunda, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa kampeni mpya ya Tigo iitwayo ‘Sako kwa...

READ MORE

Bolt Yajipanga Kuvutia Makampuni na SME Kwa Safari Zilizoratibiwa Hadi Kabla ya Siku 90

Katika hatua ya kujibu maoni ya wateja, kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri kwa njia ya mtandao, Bolt imejipanga kupanua...

READ MORE

Vodacom Yaahidi Kuwekeza Zaidi Katika Maswala Ya Uvumbuzi

Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa...

READ MORE

Kenya Yatetea Gharama ya Ndege kwa Safari ya Rais Ruto Marekani

Serikali ya Kenya imetetea gharama ya safari ya Rais William Ruto nchini Marekani. Bei ya kukodisha ndege ya kibinafsi ya...

READ MORE

Kataa Kudharaulika, Zingatia Haya Jamii Ikuheshimu!

NINA kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema ambayo amekuwa akinitendea katika kila siku ya maisha yangu. Kikubwa nimshukuru kwa...

READ MORE

Mzaramo Wa Simba: Sisi Mashabiki Wa Simba Wanafiki Sana, Dokta Mudy Kakosea Sana”

SHABIKI wa Simba Maarufu kama Mzaramo amefunguka baada ya mechi ya timu yake dhidi ya Geita Gold Fc katika dimba...

READ MORE

Tanzania yafungua milango ya ushirikiano na Indonesia katika Sekta ya Maji

Waziri wa Maji Tanzania, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ambaye yuko nchini Indonesia kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Heineken Yatangaza Jarida Mpya Nchini Tanzania Kufuatia Kununua Kampuni Ya Distell Na Namibia Breweries

Dar es Salaam, Tanzania, Mei 22, 2024 – Kampuni inayoongoza duniani ya kutengeneza vinywaji, Heineken, leo imetangaza rasmi kuzindua rasmi...

READ MORE

Kurasa za Magazeti Leo Mei 22, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Tigo, Parimatc Na Hisense Tanzania Waja Na Mchongo Wa Kusisimua “Zigo la Euro Cup Na Hisense”

Dar es Salaam, Mei 21, 2024 – Tigo Tanzania, Kampuni ya mtandao wa simu hapa nchini ya Tigo kwa kushirikiana...

READ MORE

MAJALIWA: VYOMBO VYA HABARI VIJIEPUSHE NA TAARIFA ZA UCHOCHEZI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili...

READ MORE

”Amazing Tanzania” Yawashangaza Wengi Guangzou, Wachina Kuanza Kumiminika Tanzania

Maadhimisho ya Miaka 60 kati ya Tanzania na China katika sekta za Utalii na Utamaduni yaliyoambatana na Misafara ya Kutangaza...

READ MORE

Kuboresha Malipo ya Ada za Shule: Benki ya Exim Yazindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’

Katika juhudi za kuboresha teknolojia za kidijitali katika sekta ya elimu, Benki ya Exim imezindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’...

READ MORE