×

Kurasa za magazeti ya leo Mei 24, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara moja kwa wiki Ijumaa, sasa limekuja kivingin...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Pikipiki 20 Mkoa wa Arusha Kuendeleza Sekta ya Utalii

Benki ya NMB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 65 zitakazosaidia kuimarisha ulinzi mkoani Arusha. Mchango...

READ MORE

Suka Mkeka Wako na Meridianbet Leo

Ndugu mteja ukiwa unajiuliza wakati huu ambao baadhi ya ligi kubwa Duniani kumalizika ni wapi utapata pesa. Meridianbet wanasema hivi...

READ MORE

Viongozi na wachezaji wa Klabu ya Yanga, leo Watinga Bungeni, Dodoma (Picha + Video)

Viongozi na wachezaji wa Klabu ya Yanga, leo wametinga bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Nyota Yako, Cheza Sloti ya Zodiac

Hii ni kwa wale wanao sumbuliwa na nyota zao au wanaotaka kufahamu kuhusu elimu ya nyota, tafadhari soma kwa makini...

READ MORE

Bunge la DRC lamchagua Vital Kamerhe kuwa spika

Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lilimchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa vibaya siku ya Jumapili, kuwa spika....

READ MORE

Vodacom Yatambulisha Simu Mpya Unazoweza Kuzipata kwa Mkopo na Kulipia Taratibu

Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, George Lugata ameelezea kuhusu kampuni hio kutambulisha aina nne za...

READ MORE

OSHA Yatoa Mafunzo ya Usalama na Afya Kwa Wabunge Vijana

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa mafunzo ya Usalama na Afya kazini kwa wabunge chini ya...

READ MORE

Live: Maziko ya Aliyekuwa Rais wa nchi ya Iran Ebrahim Raisi

Maelfu ya raia nchini Iran wamejitokeza katika maziko ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki Dunia kwa ajali...

READ MORE

Watu 11 Wakiwemo Raia Watatu wa Kigeni Wafariki Morogoro Leo

Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya mtambo wa kuzalisha mvuke katika kiwanda...

READ MORE

Basi la kampuni ya Takbir Lapata Ajali Lajeruhi 18 Eneo la Manga, Singida

Basi la kampuni ya Takbir lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Katoro mkoani Geita limepata ajali leo Mei 23, 2024...

READ MORE

Waziri wa Kilimo Bashe Ajibu Sakata Aliloibua Mpina Bingeni – Video

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu hoja ya mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akisema amekosea kufanya uchambuzi wa utoaji wa...

READ MORE

LHRC Yamuonya Oscar Oscar Kuacha kuweka maudhui ya Udhalilishaji dhidi ya Wanawake

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia Habari Picha...

READ MORE

Tisa wafariki baada ya jukwaa kuporomoka kwenye mkutano wa hadhara Mexico

Takriban watu tisa wamefariki dunia, akiwemo mtoto, na wengine 50 wamejeruhiwa baada ya jukwaa kuanguka kwenye mkutano wa kampeni za...

READ MORE

Binti Apata Shahada ya Udaktari ‘Phd’ akiwa na umri wa miaka 17

BINTI mkazi wa Chicago, Marekani, Dorothy Jean Tillman, ameweka historia ya kipekee baada ya kupata Shahada ya Udaktari (Phd) ‘Doctorate...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Mei 23, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wazazi Fuatilieni Mienendo Ya Watoto Wenu Shuleni

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo...

READ MORE

Mchezo Mpya Meridianbet Kasino Coin Strike Hold & Win|Ushindi Kugusa Tu

Meridianbet wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni ambao utakupa nafasi ya kushinda moja ya jakpoti nne kubwa. Kazi yako...

READ MORE

CRDB Yang’ara Burundi Yatajwa kuwa mkopeshaji mwenye faida kubwa Zaidi

Benki ya CRDB Yang’ara Burundi, Yatajwa Kuwa Mkopeshaji Mwenye Faida Kubwa Zaidi   Benki ya CRDB Tawi la Burundi hatimaye...

READ MORE