×

Shigongo: Walimu Wetu Wana Maisha Magumu, Natamani Walipwe Vizuri – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ni miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu,...

READ MORE

RC Makonda Asikiliza Kero Wakati Wa Operesheni Rejesha Haki Arusha – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda akisikiliza kutoka kwa baadhi ya wananchi, waliofika kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

Bil 1.1 za TANROADS Zarejesha Mawasiliano ya Barabara Katavi

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 9, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Wanafunzi Geita Waweka Bayana Sababu Zinazochangia Utoro

Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari ya Bung’wangoko ikiwa ni...

READ MORE

Trilioni 1.97 Kuleta Mageuzi ya Elimu Nchini

TRILIONI 1.97 KULETA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI 2024/2025 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni...

READ MORE

Utajiri Upo Katika Sloti ya Bounty Hunters Mchezo wa Kasino Meridianbet

Furahia Mavuno na Bounty Hunter Kasino ya Mtandaoni.   Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya dhahabu, tangu...

READ MORE

Ujio wa Madaktari Bingwa Morogoro Mkombozi kwa Wananchi

  Baada ya timu ya madaktari bingwa 55 wa waliotumwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili...

READ MORE

Kitendo cha Baba na Mama Kuachana Ndiyo Chanzo cha Maisha Yangu Kuharibika

Jina langu ni Monica kutokea Mbeya nchini Tanzania, nilizaliwa kipindi mama na baba wakiwa pamoja, baadaye wakaachana kwa sababu zao...

READ MORE

Harmonize Akiri Kumsindikiza Poshy Queen Toileti Kwa Jinsi Alivyopagawa Naye

Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize ameendelea kukiri mapenzi yake mazito kwa mpenzi wake, Poshy Queen...

READ MORE

Polisi Wafunguka Tukio La Mtoto Mwenye Ulemavu Wa Ngozi Kukatwakatwa Na Panga – Video

Mtoto Kazungu Julius (10) Mkazi wa Mtaa wa Mtakuja Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro Wilayani Geita Mkoani Geita, amejeruhiwa...

READ MORE

TikTok Yashtaki kuzuia sheria ya Marekani ya kupiga marufuku programu hiyo

TikTok imefungua kesi inayolenga kuzuia sheria ya Marekani ambayo itapiga marufuku programu hiyo ya video nchini humo labda iuzwe. Katika...

READ MORE

Getere: Boom Liondolewe, Wanafunzi Wote Wanaopata Wanalewa – Video

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu...

READ MORE

Jaji wa serikali kuu aahirisha kwa muda usiojulikana kesi ya nyaraka za siri inayomkabili Donald Trump

Jaji wa serikali kuu huko Florida anayesimamia kesi ya nyaraka za siri inayomkabili Rais wa zamani Donald Trump amefuta tarehe...

READ MORE

Video: Mtanzania Aliyekwama Na Kufariki Uturuki Azikwa Kimya Kimya Dar

Mwili wa marehemu Shufaa Kitwana umezikwa Mei 8, 2024 katika nyumba yake ya milele. Taarifa za kifo chake zilisambaa katika...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Mei 8, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine.   Tunatoa zawadi...

READ MORE

UEFA MAMBO NI MOTO SANA

Hayawi hayawi sasa yamekuwa leo nii ni moto wa kuotea mbali kabisa ambapo timu mbili zinagombania kucheza Fainali ya ligi...

READ MORE

Wanafunzi 22, 131 wasajiliwa Vituo vya Elimu ya Watu Wazima

WANAFUNZI 22,131 WASAJILIWA VUTIO VYA ELIMU YA WATU WAZIMA Serikali imefanikiwa kusajili wanafunzi 22,131 wakiwemo wasichana 2,794 wa elimu ya...

READ MORE

Ukikatwa Usianze Nongwa Tulia

UKIKATWA USIANZE NONGWA TULIA   Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Comred Ally Salum Hapi amewatahadharisha watu wenye...

READ MORE

Madereva Bodaboda 145 Jiji La Dodoma, Wamepatiwa Mafunzo Ya Usalama Barabarani Awamu Ya Pili

Madereva bodaboda 145 katika Jiji la Dodoma- wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili yalioanza Aprili 15 Aprili na...

READ MORE