×

Baada Ya Kupata Mafunzo Ya Usalama Barabarani, Madereva Bodaboda Jijini Dodoma Wakiri Kupata Uelewa

Baada ya Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswisi nchini Tanzania kuanza kutoa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili...

READ MORE

Rais Samia Atunuku Nishani Za Miaka 60 Muungano Na Kuzindua Kitabu – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Aprili 24, 2024 atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri...

READ MORE

Chimbo Jipya la Hela ni 420 Blaze It Kasino

Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet...

READ MORE

Carlos Tevez Alazwa Hopitalini Baada ya Kuumwa na Kifua

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Argentina Carlos Tevez amelazwa hospitalini baada ya kuumwa na kifua. Tevez alipelekwa hospitalini mjini...

READ MORE

Yanga Yaingia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL – Video

Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo...

READ MORE

Ugawaji Taulo za Kike Watajwa Kutokomeza Utoro Shuleni

  Na Mwandishi Wetu BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa...

READ MORE

Infinix Yawapa Fursa Wateja wa Note 40 Series Kwenda Dubai, China na Mkwanja wa Hadi Mil. 2

    Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix @infinixmobiletz  imewatangaza washindi wa Promosheni ya Paa na Manoti wa wiki...

READ MORE

Waziri Mavunde Afuta Maombi Ya Leseni Za Madini 227

Waziri wa Madini,  Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo...

READ MORE

Waziri Jafo: Hoja Ya Kutaka Watu Wa Bara Kuingia Zanzibar Kwa Pasipoti Ni Kuturudisha Nyuma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Saidi Jafo amesema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Tupunguze Matumizi Ya Pombe Isiyozimuliwa Ili Kukabiliana Na Magonjwa Yasiyoambukiza

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii itapunguza matumizi ya pombe isiyo zimuliwa yaliyokithiri itasaidia kukabiliana na kuepukana...

READ MORE

Wakulima Kunufaishwa Na TBL Kupitia Masoko Ya Kikanda

Kampuni ya Tanzania(TBL), imedhamilia kuwasaidia wakulima wa Tanzania kwa kutambua uwezo wao wa kulisha watu, viwanda na biashara katika ukanda...

READ MORE

Waziri Silaa Amtoa Mtu Aliyeshikilia Nyumba Ambayo Siyo Yake Tanga – Video

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemrejeshea nyumba yake Bi. ambaye ni Askari msataafu baada ya...

READ MORE

Seneti ya Marekani yapitisha mswada unaoweza kupiga marufuku TikTok

BUNGE la Seneti limeidhinisha mswada wa kihistoria wenye utata ambao unaweza kusababisha TikTok kupigwa marufuku nchini Marekani. Mswada huo unampa...

READ MORE

Exim Bank Kupitia Mpango wa WEP Yaendelea Kuwainua Kiuchumi Wanawake Wajasiriamali

  Arusha, 23 Aprili 2024. Exim Bank, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dahamira Yake Kuunga Mkono Jitihada za Kuendeleza Serikali za Mitaa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya Leo Aprili 24, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Benki Ya Azania Bega Kwa Bega Na Mabalozi

Benki ya Azania kwa kushirikiana na Kituo Cha Uwekezaji (TIC) waliandaa hafla ya “Usiku wa Uwekezaji” iliyoambatana na chakula cha...

READ MORE

DERBY DAY EPL LEO HAPA ARSENAL PALE CHELSEA

Kwenye ligi kuu ya Uingereza leo ni usiku wa Derby ambapo watakutana miamba miwili ya soka kutoka katika jiji la...

READ MORE

Polisi DSM Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kifo Cha ‘Babu G’

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika...

READ MORE

Tumieni Uzoefu Wenu Kuharakisha Mabadiliko, Balozi Kusiluka

Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo...

READ MORE