×

Expane Tournament Inaendelea, Cheza Kasino na Ushinde

Bado una nafasi ya kuendelea kuwa mshindi na kupiga mtonyo mrefu, kwa kushiriki promosheni ya Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Ili upate mgao…

READ MORE

Dkt. Nchimbi Asepa na Kijiji Arusha, Maelfu Wamiminika Kumsikiliza

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi ameweka historia katika Jiji la Arusha wakati akiingia...

READ MORE

Mwanajeshi Aangua Kilio Baada ya Mkewe Kuuza Mali Zake Zote

Ilikuwa ni Jumamosi ya huzuni kwa Mwanajeshi wa Jeshi la Kena, KDF baada ya kufika nyumbani kwake na kuangua kilio...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tutaendelea Kuwashirikisha Wavuvi Na Wafugaji Kwenye Mipango Ya Maendeleo

Waziri Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo....

READ MORE

Wizara ya Ardhi Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kuvunjwa kwa nyumba Mbezi, Kinondoni

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuvunjwa kwa...

READ MORE

Makampuni 130 Afrika Yapewa Tuzo

TUZO za makampuni bora barani Afrika (ACOYA) zilizoandaliwa na The Global CEOs Institute wakishilikiana na Eastern Star Consulting Group Tanzania...

READ MORE

Rais Ramaphosa awataka wanasiasa kuwa na umoja baada ya ANC kushindwa kupata wingi wa viti bungeni

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumapili aliwataka viongozi wa vyama vya Afrika Kusini kufanya kazi pamoja kwa maslahi ya...

READ MORE

Kurasa za magazeti June 03, 2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

Yanga yatwaa ubingwa wa Shirikisho Tanzania ikiandikisha rekodi – Video

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga wamefanikiwa kuchukua taji lao la pili kwa msimu wa 2023/24 baada ya kuwalaza...

READ MORE

Kesi ya Walalamikaji Prof. Anna Tibaijuka na wenzake 9 Kutajwa Juni18

BARAZA la Ushindani la Taifa ( Fair Competition Commission) leo tarehe 3 Juni 2024 limehairisha usikilizaji wa kesi ya  mgogoro...

READ MORE

Wasanii Wa Tanzania Na Korea Kucheza Filamu Kwa Pamoja

Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye...

READ MORE

Compact Energies Yashinda Tuzo Ya Huduma Bora Afrika

Kampuni ya  Compact Energies Limited inayohusika na uzalishaji wa umeme Jua imeshinda tuzo ya makampuni makubwa barani Afrika katika utoaji...

READ MORE

Dkt. Nchimbi; Tuendelee Kusimamia Umoja wa Nchi Yetu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mataves, katika...

READ MORE

Vodacom Yaibuka Kidedea Katika Tuzo za Tanzania Digital Awards

KAMPUNI inayoongoza kwa huduma za teknolojia na mawasiliano nchini ya Vodacom, imetunukiwa tuzo na Kampuni ya Serengeti Bytes kupitia programu...

READ MORE

Waziri Mkuu: Undeni Vikundi Ili Mnufaike Na Mikopo inayotolewa na Serikali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 amezindua jengo la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika halmashauri ya wilaya...

READ MORE

Ushindi Hadi x1000 Cheza na Ushinde Sloti ya Kasino Mtandaoni Sticky 777

Sloti ya Sticky 777 inasifika kwa urahisi wake wa kucheza na washindi kila dakika, ni mchezo wa kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Rais Samia na Rais wa Jamhuri ya Korea Washudia utiaji wa saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol...

READ MORE

Waziri Silaa Amwaga Machozi Mgogoro Arusha, Mwananchi Ataka Kunywa Sumu Baada Ya Kuvunjiwa Nyumba – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza mkazi wa jijini Arusha...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Azindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group Monduli

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group,...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Atua Arusha Ziara ya Kikazi

            Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi,...

READ MORE