×

Waziri Kairuki Akutana Na Waongoza Watalii, Asikiliza Kero Zao – Video

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amefanya kikao na Waongoza Watalii kwa lengo la kusikiliza changamoto zao, maoni...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Ashukuru Dua Za Hayati Mzee Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema familia ya Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 8, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Liquid Intelligent Technologies Yajizatiti Kuhakikisha Tanzania Inakuwa Kitovu Cha Teknolojia Kwa Afrika Mashariki

Liquid Intelligent Technologies (Liquid), sehemu ya Cassava Technologies, kampuni ya teknolojia iliyopo Afrika nzima inayofanya shughuli zake nchini Tanzania, imejizatiti...

READ MORE

Yanga dhidi ya Simba ‘Kariakoo Derby’ Kuchezwa Aprili 20, 2024

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali...

READ MORE

Polisi Ni Watu Na Jamii Ni Polisi Tushirikiane Kwa Pamoja Kutokomeza Ukatili Na Uhalifu

Waamini wa Kanisa la Moraviani lililopo Majengo mjini Tunduma wilayani Momba kwa Mchungaji Japhet Nyangwa wametakiwa kuendelea kutoa huduma ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Miaka 30 tangu kutokea Mauaji ya Kimbari Kigali, Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 7, 2024 ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 30 tangu...

READ MORE

Makamu Wa Rais Ashiriki Kumbukizi Ya Hayati Abeid Amani Karume – Picha

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kisomo cha Dua na Hitma...

READ MORE

Hoja Ya Mbunge Shabiby Tozo Za Simu Kupiga Tafu Mfuko Wa NHIF, Ilivyopokelewa

Siku mbili baada ya Mbunge wa Jimbo la Gairo mkoani Morogoro, Ahmed Shabiby kuishauri serikali kuweka sh 2,000 katika tozo...

READ MORE

Mwimbaji wa FM Academia, Malu Stonchi Aanguka Jukwaani na Kufariki Dunia

Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Tukio hilo limetokea katika Ukumbi wa...

READ MORE

Kidoa Wa ‘Huba’ Apewa Baraka Msikitini, Apeleka Sadaka Ya Futari Na Mazulia, Mwenyewe Afunguka – Video..

Msanii wa Bongo Muvi, Asha Salum ‘Kidoa’ @kidoasalum ambaye pia anafanya vizuri kwenye Tamthilia ya Huba akijulikana kama ‘Tima’, jana...

READ MORE

Timu Ya Afya Ilemela Yapewa Siku 30 Kujitathmini

Mkurugenzi wa huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais -TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume ametoa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Aziz KI: Sina matarajio ya kuondoka Yanga kwa sasa kwani sijafanikisha malengo

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI  baada ya timu yake kutolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 7, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Serikali Ya Uingereza Yatangaza Mikakati Mipya Ya Ushirikiano Na Tanzania Katika Kuboresha Uwekezaji

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango na mikakati mipya ya ushirikiano na Serikali ya Tanzania ili kuzimarisha ushirikiano katika Sekta za...

READ MORE

Waziri Wa Dermark Akutana Na Dr. Nchemba, Dr. Jafo Na Prof. Mkumbo

Kampuni za Denmark zimealikwa kuja kuwekeza nchini katika sekta za uchukuzi, nishati, madini, mazingira na uchumi wa buluu ambazo ni...

READ MORE

Wakazi wa Barabara ya Mbezi Makabe Kwenda Mpiji Magohe Waiomba Serikali Kufanya Matengenezo ya Barabara

WAKAZI wa Njiapanda ya Mbezi Makabe Kuelekea Mpiji Magohe Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es Salaam,wameiomba serikali kupitia wakala wa...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aweka Msimamo Dipromasia ya Uchumi na Siasa Kunufaisha Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake,...

READ MORE

Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere Limepunguza Athari za Mafuriko Rufiji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP)...

READ MORE