×

Majaliwa Azitaka Halmashuri Kuweka Mpango Wa Ufuatiliaji Na Tathmini Ya Matumizi Ya Ardhi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote zinazotekeleza mradi wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kuandaa mpango wa...

READ MORE

Kamanda Muliro Awataja Matapeli Wanatumia Jina La Spika Tulia – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na...

READ MORE

Nchi za SADC Zajipanga Kumaliza Changamoto za Kiusalama Mashariki Mwa DRC na Jimbo la Cabo Delgado

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo anaongoza ujumbe wa Tanzania...

READ MORE

Spika wa bunge la Afrika Kusini achukua likizo kufuatia tuhuma za rushwa

Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula, alisema Alhamisi kwamba atachukua likizo maalum, kutokana na uchunguzi wa tuhuma za...

READ MORE

TRA Yapeleka Elimu ya Mlango Kwa Mlipakodi Shinyanga

  Timu ya maofisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wamefunga kambi katika...

READ MORE

Kampeni Ya Rais Dk. Samia Yazidi Kuungwa Mkono, Oryx Gas Yafikisha Huduma Ya Kisasa Soko la Feri

NAIBU SPIKA wa Bunge Hassan Zungu, amewahakikishia Mama Lishi na Baba lishe katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri kuwa...

READ MORE

#Exclussive: Mbwana Samatta Afanya Kufuru Kijijini Kwao – Afuata Nyao Za Sadio Mane – Video

WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti uliojengwa na mshambuliaji wa Greece club PAOK, Mtanzania, Mbwana Samatta....

READ MORE

ACT Wazalendo Watishia Kujitoa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar, Ado Shaibu Afunguka – Video

Katibu mkuu chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu leo Machi 22, 2024 amefanya mahojiano na @255globalradio na @globaltvonline na kudai...

READ MORE

Rais Hussein Ali Mwinyi Aondoka Zanzibar Kushiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC, Dar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi Machi 22, 2024 ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini...

READ MORE

Waziri Nape Ateua Wajumbe wanne wa Bodi ya TCRA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...

READ MORE

TMA Yatoa Elimu Namibia Kuhusu Hali ya Hewa

Tanzania kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewanoa watumishi wa Taasisi ya Hali ya Hewa kutoka Nchini Namibia...

READ MORE

Majaliwa Awataka Mawakili Na Maafisa Sheria Kuzingatia Weledi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali nchini kutekeleza majukumu kwa kuzingatia weledi, usawa na uadilifu...

READ MORE

Rais Samia, Wizara ya Afya Waipongeza Global TV kwa kuibua habari Ya Mtoto Rama Anayeumwa Figo – “Akatibiwe Bure Muhimbili” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan kupitia wizara ya afya @wizara_afyatz inayoongozwa na Waziri @ummymwalimu wameipongeza @globaltvonline kwa kuibua habari za kijana...

READ MORE

Museveni Amteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF)

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua...

READ MORE

Kijana: Ajali Imekatisha Ndoto Zangu, Nisaidieni Nipo Kitandani Miaka 4 Mgongo, Nyonga Havifanyi Kazi- Video

Kijana Michael Charles Nyawanda (35), mkazi wa Mtaa wa Nyasula, Bunda mkoani Mara anasumbuliwa na tatizo la mgongo pamoja na...

READ MORE

Dkt. Mahera Akemea Watumishi wa Afya Wenye Lugha Chafu

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Charles Mahera amekemea tabia ya baadhi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 22, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Tigo Yachaguliwa Kuwania Tuzo Ya ITU WSIS 2024 Kupitia Mradi Wa UCSAF

Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo imechaguliwa kuwania Tuzo ya ITU WSIS 2024 kupitia mradi wa UCSAF (Mfuko wa...

READ MORE

Dance Club Yazindua Kampeni Simba Na Yanga Kuelea Robo Fainali Club Bingwa Afrika

Dar es Salaam, 21 Machi 2024: Baa ya Dance Club iliyopo Mwenge Mpakani jijini Dar es Salaam, imezindua kampeni maalum...

READ MORE

Watu 1404 Waathirika Na Mafuriko Kilosa Mkoani Morogoro, Nyumba 351 Zimefurika Maji

Morogoro, 21 Machi 2024: JUMLA ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani...

READ MORE