×

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Novemba 26, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Nov 26, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia Amtumbua Usiku Naibu Waziri Pauline Gekul, Amtoa Wizara Ya Katiba Na Sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba...

READ MORE

Wasanii Na Filamu Zilizoingia Kwenye Tuzo Za 2023 Watajwa, Msigwa Atia Neno Kwa Mastaa

Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo kupitia Bodi ya Filamu nchini imetangaza washiriki wa tuzo za filamu mwaka huu 2023...

READ MORE

Rais Samia Apokea Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati chini ya Umri wa miaka 15 (Picha +Video))

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati chini...

READ MORE

Mwaka 1998 Yanga Alimaliza Kundi Bila Ushindi wa Mechi Yeyote

Nilichokiona kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga hatua ya makundi, ni kwamba Yanga imekaribishwa rasmi kwenye Ligi ya Mabingwa baada...

READ MORE

Vodacom Watoa Bima za Afya 200 Kwa Wanawake, Watoto na Zawadi Kibao

Vodacom yakabidhi bima kubwa ya bure kwa akina mama na watoto wachanga 200 kupitia VodaBima pamoja na zawadi mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Tuzo za Wakuu na Watendaji Wa Makampuni 100 Bora Tanzania Kuchochea Ufanisi Kazini

TUZO za wakuu na watendaji wa makampuni 100 bora zaendelea kuwa chachu ya maendeleo Nchini kwa kuendelea kufanya kazi zaidi...

READ MORE

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023

Huu ni mwaka wa pili mfululizo kwa Benki ya NMB kupata tuzo hizi. Jumla ya Tuzo ilizopata Benki ya NMB...

READ MORE

Oscar Pistorius Kuachiliwa Huru Kutoka Gerezani kwa Msamaha

Bingwa wa zamani wa Olimpiki ya walemavu Oscar Pistorius ataachiliwa kutoka jela kwa msamaha, takriban miaka 11 baada ya kumuua...

READ MORE

Inasikitisha!! Msanii Carina Afanyiwa Operesheni Ishirini “Hapati Haja Kubwa Wala Ndogo -Video

Hali ya msanii wa Bongo Muvi, Carina Hussein, imezidi kuwa mbaya tena, baada ya kufanyiwa upasuaji wa mara 21 kutokana...

READ MORE

Simba Yamtangaza Abdelhak Benchikha Kuwa Kocha Mkuu, Aliiongoza USM Alger

Klabu ya Simba imemtangaza Abdelhak Benchikha kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Robert Oliveira ‘Robertinho’ aliyeoneshwa mlango wa...

READ MORE

Mateka 12 wa Thailand Waachiliwa Huru na Hamas

Waziri Mkuu wa Thailand amesema kwamba raia 12 wa nchi hiyo waliokuwa wametekwa na Hamas mjini Gaza wameachiliwa huru. Amesema...

READ MORE

Yanga Yaanza Vibaya Makundi CAF, Yapigwa 3-0 Ugenini

YANGA imeshindwa kutamba baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya CRBelouizdad katika mchezo wa Kundi D kwenye Ligi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Novemba 25, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Nov 25, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Saba ya Y9 Microfinance Wapatikana

Washindi wa Droo ya saba ya Y9 Microfinance wamepatikana ambapo mshindi wa pikipiki anaitwa Anorld Jacob huku mshindi mwingine wa...

READ MORE

PM Majaliwa : Serikali Inajenga Vyuo vya VETA Katika Kila Halmashauri Ili Kuwapa Vijana Ujuzi

Serikali imesema inajenga vyuo vya VETA katika kila Halmashauri ili kuwapa vijana ujuzi utakaowawezesha kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi...

READ MORE

Aziz Ki, Aucho Washusha Presha Yanga dhidi ya CR Belouizdad

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki, Djigui Diarra na Khalid Aucho wamemshusha presha ya Kocha Mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Sheikh Walid Na Padri Mtweve Kuongoza Dua Jumamosi Hii Leaders Club

Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omar na Padri Nestory Mtweve wataongoza dua ya kuwaombea...

READ MORE

Makatibu Wakuu Wafanya Ziara Handeni Wanapohamia Wakazi wa Ngorongoro

  Makatibu Wakuu ziarani Msomera Handeni leo ambako uwekezaji na uwezeshaji wa kihistoria unaendelea chini ya Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Ijumaa ya Maokoto ya Meridianbet, Bashiri Ushinde

Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari,...

READ MORE