×

Simba: Yanga Inatupa Ubingwa baada ya kupoteza dhidi ya Ihefu kwa mabao 2-1

UONGOZI wa Simba, umesema kwamba, kupoteza kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu, kuliwaongezea nguvu ya...

READ MORE

UN: Israel Yataka Watu Milioni 1.1 Gaza Kuondoka Katika saa 24 Zijazo

Jeshi la Israel limeuambia Umoja wa Mataifa kwamba kila mtu anayeishi kaskazini mwa Wadi Gaza anapaswa kuhamia kusini mwa Gaza...

READ MORE

Kila Ijumaa Meridianbet Inakurejeshea 10% Ukichezo Lucy6 na Keno

Ifanye Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake...

READ MORE

Pacome Atuma Salamu Simba Atamba kuendelea na Mwendelezo wa Kufunga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua, amesema hatabweteka na mabao matatu aliyoyafunga katika Ligi Kuu Bara...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dhamira Yake Kusaidia Ukuaji TEHAMA Mashuleni

Yatoa Msaada wa Kompyuta Sekondari Makoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuwekeza zaidi kwenye ustawi...

READ MORE

Naibu Spika ataka CBE Iwatafutie Wahitimu Ajira

NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la...

READ MORE

Tanga Yalishukuru Shirika La Amend Baada Ya Kukamilisha Mradi Wa Usalama Barabarani Kupitia Mradi Wa ‘Tanga Yetu’

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga limetoa shukrani kwa Shirika la Amend baada ya kukamilisha mradi wa Usalama Barabarani kupitia Mradi...

READ MORE

Vurugu Nzito Zaibuka Kariakoo -Wafanyabiashara Wakiwasha Laivu Sakata La Moto – Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

White House yataka kufunguliwa kwa njia ya misaada Gaza

White House, imeunga mkono mwito wa misaada ya kibinadamu, na kufunguliwa njia ya kutoka Gaza, wakati Israel, ikongeza mashambulizi yake...

READ MORE

Taifa Stars Yapangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Oktoba 13, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 13, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

SBL Yashirikiana Na Usalama Barabarani, Polisi Jamii CUP Kukuza Kunywa Kwa Uwajibikaji Na Usalama Barabarani

Dar es salaam, 12 Oktoba – Mwanamasumbwi mwenye tambo nyingi, Karim Mandonga na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Juma...

READ MORE

Mke Wa Aliyekuwa Rais Wa Gabon Afungwa Jela.

Sylvia Bongo Ondimba Mke wa aliyekuwa Rais wa Gabon na kuondolewa madarakani Ali Bongo Odimba amefungwa jela. Sylvia Bongo amekuwa...

READ MORE

Hii Ndo Miradi Anayoendelea Kufanya Rais Samia Mkoni Manyara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameeleza kuwa kwa kupindi kifupi cha uongozi wa Rais Samia Mkoa wa Manyara...

READ MORE

Korosho Ya Tanzania Iliyobanguliwa Yaondolewa Kodi India

Serikali ya India imekubali kuondoa ushuru wa asilimia 35 kwa korosho iliyobanguliwa kutoka Tanzania iliyokuwa ikitozwa awali kabla ya Rais...

READ MORE

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Yatoa Ufafanuzi Taarifa Inayosambaa Mtandaoni

  Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko yaliyotolewa na...

READ MORE

Wawili Wafariki Kwa Kuliwa Na Kiboko, Wanakijiji Wafunguka-“Tuna Mashaka Makubwa Sana”- Video

Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kuliwa na mnyama kiboko katika bwawa la milala Manispaa ya Mpanda mkoa wa...

READ MORE

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa apewa saa 72 kuondoka Niger

Watawala wa Niger wamempa saa 72 Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo, wakiushutumu Umoja wa Mataifa kwa...

READ MORE

Mfalme Charles III, Malkia Camilla Kuzuru Kenya Mwezi Huu

Mfalme wa Uingereza Charles III na mkewe Malkia Camilla watafanya ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya kuanzia mwisho...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Oktoba 12, 2023

  HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 12, 2023 CHOTA MAPENE...

READ MORE