×

Davido na Mkewe Chioma Wapata Watoto Pacha

Staa wa Afropop kutoka nchini Nigeria, Davido na mkewe Chioma wamepata watoto pacha jana Jumatatu majira ya saa tatu usiku....

READ MORE

Mwakinyo Afungiwa Mwaka Mmoja na Kamisheni ya ngumi Nchini

Kamisheni ya ngumi za kulipwa Nchini (TPBRC) kupitia Kamati yake ya Nidhamu imetangaza kumfungia Bondia Hassan Mwakinyo kwa kipindi cha...

READ MORE

Pelekeni Taa Uwanja Wa Ndege Arusha Na Iringa Na Maeneo Ya Kiutalii

Naibu Waziri Uchukuzi, David Kihenzile ameitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kupeleka taa za kuongoza ndege katika maeneo...

READ MORE

Eden Hazard Atangaza Kustaafu Soka Akiwa Na Umri Wa Miaka 32.

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Lile, Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri...

READ MORE

DC Mgomi Akabidhi Mashine ya Kutolea Photocopy Shule ya Sekondari Shinji

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekabidhi Mashine ya Photocopy katika Shule ya Sekondari Shinji ambayo imetolewa na Kampuni...

READ MORE

Chongolo Atinga Bandari ya Kasanga Kuona Upanuzi wa Bandari hiyo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akimsikiliza Rodriguez Valentin ambae ni Afisa katika Bandari ya...

READ MORE

Dkt. Biteko Azindua Mpango Mkakati Kutangaza Vivutio Vya Utalii Pangani

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko  amezindua mpango mkakati wa kutangaza fursa  zilizopo Sekta ya Utalii...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Shahada Ya Heshima Ya Udaktari Wa Falsafa, India – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 10, 2023 ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima...

READ MORE

Bosi Avujisha Siri Nzito Simba… Watamba Kuuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu

AHMED Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu...

READ MORE

Siku 180 Warda Hajulikani Alipo, Amekufa Au Yupo Hai? Inaumiza! Familia Yalia Tu -Video

Dau la shilingi milioni 3 limetangazwa kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa binti mdogo, Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa...

READ MORE

White House: Hakuna mpango wa kutuma wanajeshi wa Marekani nchini Israel

Katika dakika chache zilizopita, tumesikia kutoka kwa msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la White House, John Kirby. Kirby...

READ MORE

Nyama Nyekundu Inavyosababisha Kisukari, Moyo, Kansa

NILIWAHI kuandika kuhusu madhara ya nyama nyekundu ingawa watu wengi hawajui kwamba ina hatari zake. Kutokana na wengi kupenda nirudie...

READ MORE

Dada Aliyedai Kuporwa Mtoto Na Bosi Wake Akabidhiwa Mtoto Mbele Ya Kijana Aliyezaa Naye – Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Rais Biden ahojiwa kuhusu nyaraka za siri ikulu ya Marekani

Rais Joe Biden, wa Marekani, amehojiwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi huru kuhusu jinsi alivyoshughulikia nyaraka za siri, ikulu ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 10, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 10, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi: Mchakato wa Kutafuta Mfumo Bora wa Namna ya Kupeleka Mifugo nje Umeanza

Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema Wizara ya Uchukuzi imeanza mchakato wa kutafuta mfumo bora wa namna ya...

READ MORE

Watanzania Waaswa Kujitokeza Monesho ya Dar Constructions EXPOctions

Hayo Yamesemwa leo na Mkurugenzi na Muandaaji wa Maonesho hayo Bw. Deogratius John Kilawe , alipokuwa akiongea na Waandishi wa...

READ MORE

Hekari 807 Za Bangi Zateketezwa Mkoani Mara

  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni...

READ MORE

Blackjack Live Inarahisisha Maisha Kila Ukicheza

Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino Mtandaoni, ukikutana na...

READ MORE

Watanzania Wawili Hawajulikani Walipo Mapigano Ya Nchini Israel, Balozi Afunguka

  Wakati mapigano yakiendelea nchini Israel kati ya Taifa hilo na kundi la wanamgambo la Hamas la nchini Palestina, imetoka...

READ MORE