×

Maokoto ya Jackpot yameongezwa Meridianbet!

Ni mwezi wa kutoboa tu na hakuna mtu wa kupinga hilo, ukicheza michezo ya sloti au kasino ya mtandaoni bado...

READ MORE

XPENG G3; Gari la Kisasa Lenye Uwezo wa Kujipaki Lenyewe Bila Dereva

  Bila shaka umeshasikia sana kuhusu magari ya kisasa yanayotumia umeme jinsi yalivyokuja kuleta mapinduzi makubwa katika usafiri wa magari...

READ MORE

Kiongozi wa Upinzani Visiwa vya Shelisheli Ashtakiwa kwa Uchawi, Mtanzania Ahusishwa

Mahakama katika Visiwa vya Shelisheli, imemsomea mashtaka ya uchawi kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo, Patrick Herminie pamoja na watu...

READ MORE

Waziri Mkuu: Ma-RC anzisheni vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kabla ya 2024

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini ambao bado hawajaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi...

READ MORE

Ukweli Wote Warda Kudaiwa Kuonekana Afrika Kusini, Mazito Yaibuka Tena – Video

Siku chache zilizopita, ziliripotiwa habari na mtu aliyejiita msamaria mwema, kwamba amemuona msichana mdogo, Warda Mohammed (16) nchini Afrika Kusini....

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Awashangaa Katavi Kuendekeza Kamchape

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Katavi kuachana na imani za kishirikina maarufu...

READ MORE

Trump na Kampuni Yake Watuhumiwa kwa Kusema Uongo Kuhusu Utajiri Wake

Wakati baadhi ya biashara zake za majumba yenye thamani kubwa zaidi zikiwa mashakani, Rais wa zamani Donald Trump anasema atafanya...

READ MORE

Niger yatangaza siku tatu za maombolezi baada ya kuuliwa wanajeshi wake 29

Wanajeshi 29 wa Niger wameuliwa kufuatia shambulio la kigaidi magharibi mwa nchi, ikiwa ni idadi kubwa ya watu kuuliwa tangu...

READ MORE

NBC Yazindua Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwa kuwatembelea Mawakala, Wateja

Benki ya Taifa ya Biashara imetumia maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala mbalimbali na wateja wa...

READ MORE

Mapya Yaibuka Vijana Waliopotea Kariakoo Siku 373 -Wazazi Wao Wafunguka Haya – “Rais Samia Tusaidie”- Video

Mama mzazi wa Mohammed Rashid (23) amefanya mahojiano na Global Tv katika kipindi cha Katambuga na kueleza namna ambavyo mwanaye...

READ MORE

Bosi wa Tanapa Mwakilema Ateuliwa Kumrithi Jokate Wilaya ya Korogwe

Rais Samia Hassan leo Oktoba 3, 2023 amemteua William Simon Mwakilema, Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu na Kamishna TANAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Oktoba 3, 2023 ameteua na kufanya mabadiliko ya uteuzi kwa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Mwenyekiti wa MoCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua George Nathaniel Mandepo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa BASATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Oktoba 3, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 3, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda Qatar

DOHA, Qatar: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Viwanda, Biashara na Mifugo Yaipongeza Wizaya ya Kilimo

Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Wizara ya Kilimo kwa utekelezaji mradi uandaaji mashamba ya...

READ MORE

Total Energies Yasherehekea Wiki Ya Huduma Kwa Wateja 2023 Kwa Kufungua Mlango Mpya Wa Huduma Bora

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Ltd, Mamadou Ngom (wa pili kulia) akizungumza na Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

NMB Yazindua Huduma Ya Kibenki Ya NMB KWETU Kwaajili Ya Diaspora Wa Kitanzania Waishio Nje Ya Nchi

Benki ya NMB imezindua huduma rasmi dirisha la huduma za kibenki kwa Watanzania waishio Nchi za Nje yaani Wana Diaspora...

READ MORE

Hotuba Ya Mkuu Wa Kitengo Cha Huduma Kwa Wateja Wa Tigo, Mwangaza Matotola Wakati Wa Uzinduzi Wa Maadhimisho Ya Wiki Ya Huduma Kwa Wateja

Oktoba 2 2023 Iringa Wageni waalikwa, Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana, Habari za Asubuhi! Napenda kuwashukuruni nyote kwa kuungana...

READ MORE