×

Mwamuzi Hans Mabena na Msemaji wa Azam FC Wafungiwa na Bodi ya Ligi Kuu

Mwamuzi wa kati, Hans Mabena kutoka mkoani Tanga aliyechezesha mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Tanzania Prisons dhidi...

READ MORE

Kombe la Dunia: Tanzania Yatinga Robo Fainali Yaichapa Japan 3-1 Uturuki

Timu ya taifa ya walemavu ya Tanzania imetinga robo fainali ya kombe la dunia kwa watu wenye ulemavu baada ya...

READ MORE

Rombo Kutumia Soko la Kimataifa Kuuza Ndizi: Waziri Mkenda

  Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla...

READ MORE

Nafasi za Kazi UNILEVER Tanzania, Auto Mobile Engineer

PURPOSE OF THE ROLE Oversee all Central Workshop Engineering activities on Planning, Organizing, Coordination and Control to ensure cost effective...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya *Gazeti la SpotiXtra* leo Octo-06  Kwa nusu bei tu   Gazeti la Spoti Xtra*https://bit.ly/3d8qcYV AU *SpotiXtra*https://bit.ly/3d8qcYV...

READ MORE

RPC Simiyu Apata Ajali, Maswali Yaibuka Baada ya Aliyemgonga Kufariki

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu ACP Blasius Chatanda amepata ajali akiwa na gari lake binafsi T 462 BBD Toyata...

READ MORE

Aziz Ki Awapa Neno Mashabiki wa Yanga, Aanza Tizi Kuwakibili Al Hilal

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz KI ameripoti kambini jana na kuanza mazoezi moja kwa moja na kikosi...

READ MORE

Mwanamke Aolewa na Wanaume Wawili, Azaa Nao ‘Tunalala Wote Kitanda Kimoja Kwa Amani’

MWANAMKE mmoja raia wa Congo ambaye aliolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra...

READ MORE

Al Hilal ya Sudan Kutua Dar Kesho, Kukiwasha na Yanga Jumamosi kwa Mkapa

MSAFARA wa wachezaji 23, benchi la ufundi la watu 8 na viongozi 7 wa AL Hilal ya Sudan wanatarajiwa kuwasilini...

READ MORE

Jamaa Raia wa Marekani Atupwa Jela Miaka Minne kwa Kumpiga Teke Afisa wa Polisi

MAHAKAMA moja katika mji wa magharibi mwa Russia ya Voronezh, Jumanne imemuhukumu raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 28...

READ MORE

Marekani Yatangaza Msaada wa Dola Milioni 625 kwa Ukraine

MAREKANI imetangaza msaada mwingine wa kiasi cha fedha cha Dola Milioni 625 kwa nchi ya Ukraine ili kiweze kuwasaidia katika...

READ MORE

Simba Yapangua Fitna Zote Nchini Angola Watanguliza Mashushushu wao

UNAAMBIWA wakati mashabiki wa Simba wakiendelea kushangilia ushindi wa mabao 3-0 walioupata timu yao dhidi ya Dodoma Jiji, tayari mabosi...

READ MORE

Mtoto Auawa Katika Jaribio la Kuzuia Risasi kwa Kutumia Hirizi

Mtoto mwenye umri wa miaka 12, anayefahamika kwa jina la Yusuph Abubakari ameuawa baada ya kaka yake, Abubakari Abubakari kujaribu...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar leo – Picha

Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni...

READ MORE

Nafasi za Kazi CCBRT,Mason

Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in Africa...

READ MORE

Masanja Atua nchini Akitokea Marekani Apokelewa na Mkewe Uwanja wa Ndege – Video

Masanja Mkandamizaji; ni Askofu wa Makanisa ya Fell Free Church ambaye usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2022 na kupokelewa...

READ MORE

Tunda, Meja Wawajibu Wema, Whozu Waoneshana Mahaba ya Kufa Mtu

  Tunda; ni video vixen maarufu Bongo na mzazi mwenza wa msanii Whozu ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na msanii...

READ MORE

Bilionea Musk Amshukia Zelensky Amtaka Atafute Suluhu ya Vita Dhidi ya Urusi

BILIONEA namba moja Duniani Elon Musk amemkingia kifua Rais wa Urusi Vladimir Putin na kumshutumu vikali Rais wa Ukraine Volodymyr...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Anashiriki Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani Kamisheni ya Afrika -VIDEO

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amehudhuria ufunguzi wa mkutano wa Shirika la Utalii Duniani...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Watanzania Wanaoishi Nchini Qatar Doha – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  Oktoba, 2022 amezungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) katika...

READ MORE