×

Akamatwa Akisafirisha Madawa ya Kulevya, Atumia Dawa za Kienyeji Kuwakwepa Askari

JESHI la Polisi mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja anayesafirisha madawa ya kulevya aina mirungi katika jiji la Arusha....

READ MORE

Waziri Mkenda: Serikali Imetenga Bil 100 Ujenzi wa VETA Nchini

Serikali inayo azma ya kujenga Chuo cha Ufundi Stadi katika kila Mkoa na Wilaya nchini. Katika mwaka huu wa fedha...

READ MORE

Rais Samia Aanza Ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Msumbiji leo – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 21, 2022 ameanza ziara Rasmi ya Kiserikali nchini...

READ MORE

Wafanyakazi Watatu wa Tanesco Wafariki Dunia Katika Ajali ya Gari Mkoani Manyara

GARI la dharula la TANESCO mkoani Manyara limegongana uso kwa uso na lori la mizigo katika Mlima wa Logia wilayani...

READ MORE

Ukweli Ulio Jificha Kuhusu Antonio Griezmann Kucheza Kwa Dakika 30 kwa Kila Mechi

  KATIKA mechi zote ambazo amecheza kwa mkopo kwenye klabu ya Atletico Madrid akitokea Barcelona Antonio Griezmann amekua akitumika kama...

READ MORE

Dawati la Jinsia Nchini Lajipanga Kutoa Elimu ya Afya ya Akili

MKUU wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanya...

READ MORE

Watu watano Wakamatwa Nigeria Wakiwa na Tani 1.8 za Madawa ya Kulevya

WATU watano, meneja wa ghala na wafanyabiashara wa dawa za kulevya wanne akiwemo mmoja aliyetajwa kuwa raia wa Jamaica walikamatwa...

READ MORE

Viongozi Katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa Wanalaani Vita vya Urusi Nchini Ukraine

UVAMIZI wa Russia dhidi ya Ukraine umechukua nafasi kubwa katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, huku Ujerumani na Ufaransa...

READ MORE

Mabondia Twaha Kiduku na Karim Mandonga Watua kwa Shangwe Mtwara Leo

MABONDIA Twaha Kiduku na Karim Mandonga leo Septemba 21, 2022 wamepokewa kwa shangwe kubwa la wakazi wa Mtwara tayari kwa...

READ MORE

Mahaba Mazito! Harmonize Amnunulia Kajala Iphone 14 Pro Max

CEO wa Lebo ya Konde Gang, msanii Harmonize sasa ni mwendo wa kumpa malavidavi mpenzi wake, Kajala mpaka mwenyewe aseme...

READ MORE

Katibu Mkuu wa UN Asema Dunia Ipo Hatarini Kupooza Wakati Mkutano wa Kilele Ukiendelea

KATIKA tathimini ya kutisha, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewaonya viongozi wa dunia kwamba mataifa yamekwama katika...

READ MORE

Simba Yavamia Angola, Yapiga Mkwara Mzito Clube Desportivo 1º de Agosto

UONGOZI wa Simba umewaambia wapinzani wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Clube Desportivo 1º de Agosto ya nchini Angola kuwa...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atumia Dakika 90 Kuwamaliza Al Hilal Ligi ya Mabingwa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi na msaidizi wake, Mrundi, Cedric Kaze, juzi walijifungia ndani kwa dakika 90 na...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 Barrick – Bulyanhulu Gold Mine Limited, Safety Coordinator

Safety Coordinator Tanzania, United Republic of Job Description JOB ADVERT: UG SAFETY OFFICER (02 POSITIONS) Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Septemba 21, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 21 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

NBC na Kampuni ya Kanu Equipment Kutoa Mikopo Nafuu ya Vifaa vya Kilimo

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwakushirikiana na KANU EQUIPMENT jana wametia saini mkataba wa maridhiano ili kutoa...

READ MORE

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU)...

READ MORE

Zaidi ya 3,000 Wasajiliwa Kushiriki Nmb Marathon

  LICHA ya washiriki zaidi ya 3,000 kujisajili kushiriki Mbio za Hisani za NMB Marathon 2022, Benki ya NMB imeeleza...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Sep-21, Kwa nusu bei tu\   Gazeti la Championihttps://bit.ly/3eQNGCh AU Championihttps://bit.ly/3eQNGCh ....

READ MORE

MDH Na BUDES Wahamasisha Chanjo Mkoa Wa Kagera

Mashirika mawili yasiyo ya kiserikali Bukoba Developers (BUDES) na Management Development for Health (MDH) yameungasha nguvu ya utoaji elimu juu...

READ MORE