×

Morrison, Makambo Wapewa Kazi Maalum Yanga, Kuwazuia Mabeki na Viungo Wakabaji

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amesema kuwa wachezaji wake, Mghana Bernard Morrison na Mkongomani, Heritier Makambo, wana...

READ MORE

Hawa ni Viungo Ishirini Watakaolipwa Mkwanja Mrefu kama Casemiro Akitua Man United

KATIKA harakati za Manchester united kukamilisha dili la kiungo mkata umeme wa kibrazili ‘Casemiro’, timu hiyo inajiandaa kumlipa mchezaji huyo...

READ MORE

Wamalawi Wakesha Wakiwasoma Pape Sakho, Chama, Ligi Ya Mabingwa

  KUELEKEA Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza, Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa, amefichua kuwa kwa...

READ MORE

Kanali Mtanzania Atunukiwa Medani na Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani

WIZARA ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunuku nishani kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa.   Kanali Joseph Bakari...

READ MORE

Nafasi ya Kazi KCB Tanzania, Administration officer

Administration officer Job Summary: To ensure availability, efficient utilization, and maintenance of all facilities as per business needs in accordance...

READ MORE

Spika Tulia Mgeni Rasmi Benki ya Mwanga Hakika ikiweka Historia, Yawa Benki ya Biashara

  Dare es Salaam- Kijitonyama. Benki ya Mwanga Hakika yawa benki ya biashara. Ambapo awali benki hii ilikuwa benki ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa July-29, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya...

READ MORE

Mlipuko Mkubwa Watokea Ndani ya Msikiti Unaobeba Watu Wengi Afghanistan

POLISI mjini Kabul wamesema watu zaidi ya 21 wamefariki kutokana na mlipuko uliotokea ndani ya Msikiti Mkubwa zaidi jijini Kabul,...

READ MORE

Watu Zaidi ya 16 Wafariki kwa Mafuriko China Kaskazini, Serikali Yaingilia Kati

BEIJING Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko jimbo la Qinghai kaskazini mwa nchi ya China yamesababisha vifo vya...

READ MORE

Rais Mteule William Ruto Akubali Kuitikia Wito Wowote wa Mahakama

BAAADA ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya Rais Mteule William Ruto Ameongea na waandishi wa habari na kusema watashiriki...

READ MORE

Bilionea na Shabiki wa Manchester United Ataka Kuinunua Klabu Hiyo

BILIONEA Sir Jim Ratcliffe, ambaye anamiliki timu ya waendesha Baiskeli Ineos Grenadiers, yuko tayari kuinunua Manchester United na wachezaji wa...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Siku ya Sensa ni Mapumziko

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa tarehe 23...

READ MORE

Ten Hag Awaza Kuachana na Maguire, Wachezaji Wataka abadili Uchezaji Dhidi ya Liverpool

KOCHA wa Manchester United Erik ten Hag anafikiria wazo la kumuacha Nahodha Harry Maguire wakielekea kuwavaa Liverpool siku ya Jumatatu....

READ MORE

Kinasa Msukuma Atoa ya Moyoni Baada ya kushushwa Stejini na Diamond Platnumz

SIKU ya Jumanne Agosti 16 katika ukumbi wa Mlimani City kulifanyika uzinduzi wa albamu ya mmoja wa wasanii wakongwe katika...

READ MORE

Neema Kituo Cha Afya Yombo, Wapatiwa Vifaa Tiba Vya Kisasa

KITUO cha Afya Yombo Vituka Wilaya ya Temeke jijini Dar es saalam kimepata neema baada kupatiwa vifaa tiba vya kisasa...

READ MORE

Nchi ya Japan Imewahimiza Vijana Kunywa Pombe Zaidi ili Kuchochea Uchumi waNchi

KATIKA hali ambayo inaweza kukushangaza, Mamlaka za Japan zimewataka vijana wengi zaidi kunywa pombe, Kampeni hiyo imeanzishwa ili kuweza kuongeza...

READ MORE

Mapya Yaibuka Mshambuliaji wa Vipers Manzoki Kutua Simba, Watoa Kauli Hii

  WAKATI zikisaliwa takribani siku 13 kabla ya usajili wa dirisha kubwa kufungwa hapa nchini, uongozi wa Simba, umetangaza kuachana...

READ MORE

Video: Mwili wa Msanii Erick Kisauti Waagwa Kibaha Mkoani Pwani, Ndugu Wazimia Jeneza Likiingizwa Ndani..

 MWILI wa Msanii maarufu wa vichekesho, Zabogan Zabron maarufu kama Erick ‘Hivyo hivyo’ umeagwa na kisha safari ya kuelekea...

READ MORE

Rais wa Ukrain Alaani Mashambulio ya Urusi Dhidi ya Nchi Yake

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani shambulio dhidi ya makazi ya watu katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo,...

READ MORE

Majeshi ya China na Urusi Yafanya Mazoezi ya Pamoja Yenye Lengo la Kuimarisha Uhusiano

BEIJING na Moscow zina uhusiano wa karibu wa kiulinzi na China imesema inataka kusukuma uhusiano wa nchi hizo mbili “katika...

READ MORE