×

Naibu Gavana wa Baringo Kenya, Charles Kipng’ok Afariki Dunia Ndani ya Ndege – Video

NAIBU Gavana wa Kaunti ya Baringo nchini Kenya, Charles Kipng’ok amefariki dunia ndani ya ndege muda mfupi kabla ya ndege...

READ MORE

Rais Samia Asikitishwa na Kifo cha Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

WHO: Vifo Vitokanavyo na Virusi vya Corona Vyadizi Kupungua Duniani

SHIRIKA la Afya Duniani limerekodi idadi ndogo zaidi ya virusi vya Corona tangu machi 2020, mkurugenzi mkuu wa shirika la...

READ MORE

Kamati ya Rufaa TFF Yampunguzia Adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara – Video

  KAMATI ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF  Septemba 14, 2022 imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga...

READ MORE

Bungeni: Wabunge Wanaibana Serikali Kwa Maswali, Mawaziri Wanajibu -Video

 Bunge la 12 mkutano wa 8 kikao cha 3 kimeendelea leo 15 sept 2022 Bungeni Dodoma. ⚫️ SIKILIZA +...

READ MORE

Nyota wa R&B, R.Kelly Apatikana na Hatia ya Unyanyasaji Kwa Watoto

NYOTA wa muziki kutoka Marekani, Robert Kelly maarufu R.Kelly amepatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono wa watoto katika kesi...

READ MORE

Mkurugenzi PSSSF Kikaangoni kwa Kujikopesha Fedha ya Kujinunulia Gari la Milioni 196

Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya *Gazeti la SpotiXtra* leo Sep-13, Kwa nusu bei tu   *Gazeti la Spoti Xtra*👉https://bit.ly/3d8qcYV AU *SpotiXtra*👉https://bit.ly/3d8qcYV...

READ MORE

Nafasi za Kazi Tanzania Health Promotion Support (THPS), Care and Treatment Technical Advisor

Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011....

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Septemba 15, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 15 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

BancABC Yazindua Kampeni kwa Wateja wa Akaunti za Amana

    Dar es Salaam, Alhamisi Septemba 15, 2022 BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara na ambayo...

READ MORE

Jeneza la Malkia Lawekwa Ndani ya Bunge la Uingereza, Wananchi Kutoa Heshima za Mwisho -Video

HAYATI Malkia Elizabeth II wa Uingereza jeneza lake leo Septemba 14, 2022 limewasili Ukumbi wa Westminster, London ambapo atawekwa hapo...

READ MORE

Simba Yawakalisha Wajelajela Tanzania Prisons, Mkude Apeleka Kilio

KLABU ya Simba leo Septemba 14, 2022  imefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa bao...

READ MORE

Ommy Dimpoz Afunguka Sakata la Baba Yake, Aeleza Kila Kitu “Hakuja Kumzika Mama”-Video

Faraji Nyembo ni baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Omary Faraji Nyembo almaarufu Ommy Dimpoz ambaye ameonesha kuchukizwa na...

READ MORE

Fahamu na Zijue Faida za Kiafya za Utumiaji wa Bia

    Bia ina lishe zaidi kuliko vinywaji vingine vya pombe. Tunasikia mengi juu ya wingi wa antioxidants katika divai,...

READ MORE

Wamalawi Wabaki na Jina la Chama, Kocha wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa Afunguka

KOCHA Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa ameweka wazi kuwa watakuwa kwenye wakati mgumu zaidi katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Ujenzi wa Mradi wa Maji Butimba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa...

READ MORE

Princes William na Harry Kutembea Nyuma ya Jeneza la Malkia Hadi Westminster Hall

  Wanawafalme William na Harry watatembea pamoja nyuma ya jeneza la Malkia katika maandamano huko London Jumatano.   Ndugu, pamoja...

READ MORE

Beki wa Man City Benjamin Mendy Akutwa Hana Hatia Kesi ya Ubakaji

STAA wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia kwenye kesi ya ubakaji  wa binti wa miaka 19, Mfaransa huyo ...

READ MORE

TGNP na WiLDAF Watoa Mafunzo kwa ADA TADEA Namna ya Kuandaa Sera Zenye Mrengo wa Kijinsia

    MTANDAO wa jinsia nchini, TGNP kwa kushirikiana na shirika la WiLDAF wametoa mafunzo kwa chama cha siasa cha...

READ MORE