×

Serikali Yatenga Bilioni 25, Maeneo Maalum Ya Uwekezaji Viwanda Vya Dawa

Serikali imetenga maeneo maalum la uwekezaji wa viwanda vya bidhaa za afya pamoja na kutenga kiasi cha zaidi ya Bilioni...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Yakamilisha Ujenzi Jengo Jipya

…Shule ya sekondari ya amali Mwambasha nayo yakamilika. …Halmashauri ya Wilaya Shinyanga yampongeza Rais Samia kwa bilioni tatu HALMASHAURI ya...

READ MORE

Askari Polisi 7 Wauawa Baada ya Kushambuliwa na Wahalifu – Video

Maafisa saba wa polisi wamepoteza maisha baada ya magenge ya uhalifu kufanya mashambulizi ya kuratibiwa dhidi ya vikosi vya usalama...

READ MORE

Basi na Lori Zagongana na Kuua Wanafunzi 13 – Video

Wanafunzi 13 wamefariki dunia nchini Afrika Kusini baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kugongana na lori kusini mwa jiji la...

READ MORE

CAF Wamfungulia Kesi ya Kinidhamu Kocha Mkuu wa Senegal – Video

  CAF imefungua rasmi kesi za kinidhamu dhidi ya kocha mkuu wa Senegal Pape Thiaw. Kocha huyo wa Senegal sasa...

READ MORE

Mzee Butiku Afunguka Kuhusu Alipo Polepole – Video

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Kiutu – Video

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Serie A, EPL, LaLiga & Super Lig Zote Leo – Bashiri Meridianbet

Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo unaweza ukachagua timu zako kwa dau ulipendalo na kushinda pesa zako hapa. Timu kibao...

READ MORE

Netanyahu Ampinga Trump, Akosoa Bodi ya Amani Gaza

Kiongozi wa Israel, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ameongoza mkutano wa dharura na washauri wake wakuu wa kisiasa na kiusalama kujadili...

READ MORE

Treni za Mwendokasi Zagongana na Kuua Watu 21, Hispania

Takribani watu 21 wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya treni za mwendokasi iliyotokea kusini mwa Hispania, huku mamlaka za nchi...

READ MORE

Mzee Butiku Azungumzia Utekaji na Mauaji – Video

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari...

READ MORE

Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko Baada ya Kushinda AFCON – Video

Dakar, Senegal — Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya...

READ MORE

Kilimo Viwanda Jinsi Elimu Inavyobadilisha Sekta Ya Kilimo Tanzania

Dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu, mjadala unaelekezwa kwenye nafasi ya elimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania....

READ MORE

Mtoto Nilsa Afariki Dunia Akipatiwa Matibabu – Video

Mtoto Nilsa, ambaye alikuwa akiishi na changamoto ya kiafya tangu kuzaliwa, amefariki dunia leo, Januari 18, 2026. Kifo cha Nilsa...

READ MORE

Stanbic Yaunga Mkono Utoaji Wa Sukuk Ya Ak Barakah Ya Benki Ya CRDB Kama Mratibu Mwenza

Stanbic inaonesha utaalamu wake kama Mshirika mwenza wa Mpango katika kuunga mkono utoaji wa hivi karibuni wa Sukuk ya Al...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Burudani Mpya Ya Sloti Kupitia Slotopia

Meridianbet imechukua hatua nyingine kubwa katika kubadilisha taswira ya kasino mtandaoni kwa kuleta mshirika mpya mwenye nguvu, Slotopia. Huu ni...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Amshutumu Trump kwa Vifo vya Waandamanaji – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, siku ya Jumamosi amemlaumu Rais wa Marekani Donald Trump kwa wiki kadhaa za...

READ MORE

Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa

Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, OG Phone and...

READ MORE

Maswali 10 Unayotakiwa Kumuuliza Mtu Unayetaka ‘Kudate’ Naye!

WIKI hii nitazungumzia maswali 10 ambayo unatakiwa kumuuliza mtu unayetaka kudate naye ili majibu yake yakupe mwanga wa kinachoweza kutokea...

READ MORE

Mpenzi Wangu Aliniacha na Kuolewa na Mwanaume Mwingine, Baadaye Alirudi Akilia

Siku niliyopokea ujumbe wake wa mwisho bado unauma hadi leo. Hakukuwa na maelezo marefu, hakukuwa na majibu ya maswali yangu....

READ MORE