×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Agosti 31, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 31 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

NMB Yatangaza Ushirikiano na Kituo cha Radio cha EFM na TVE, Mbio za NMB Marathon

  Benki ya NMB imetangaza ushirikiano na kituo cha Radio cha EFM na TVE kama washiriki wenza katika mbio za...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda Aug-31, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi...

READ MORE

Papa Francis Alaani Kiukali Vita ya Urusi na Ukraine, Kyiv Yasikitishwa na Kauli yake

KATIKA taarifa ya Vatikani, Papa Francis leo ametoa maneno yake makali zaidi kuhusu vita vya Urusi na Ukraine, akivitaja kuwa...

READ MORE

Rais Samia Amwagiza DCI kufanya Upelelezi Kabla ya Kumweka Mtu Mahabusu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Agosti 30, 2022 amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai...

READ MORE

Akutwa na Hatia ya Kumuua Mke Wake Miaka 40 Iliyopita

MWANAUME wa Australia anayefahamika kwa jina la Chris Dawson amepatikana na hatia ya kumuua mkewe miaka 40 iliyopita baada ya...

READ MORE

Wagombea wa Muungano wa Azimio Washinda Ugavana Mombasa na Kakamega

MGOMBEA wa chama cha ODM Fernandes Odinga Barasa ameshinda kinyang’anyiro cha kuwania kiti cha Ugavana katika kaunti ya Kakamega nchini...

READ MORE

Mtanzania Anayeishi Ubelgiji Aunga Mkono Juhudi za Rais Samia 

MTANZANIA anayeishi nchini Ubelgiji Sophie Ledani ambaye ni mwanzilishi wa Foundation ya Samaritan VZW Belgium ambayo inasaidia watu wwenye changamoto...

READ MORE

Watu 15 Wauawa kwa Kupigwa Risasi Katika Vurugu za Baghdad

WAFUASI 15 wa Ulamaa wa kidini katika dhehebu la Shia nchini Iraq wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano yaliyofanyika katika...

READ MORE

Mafuriko Yaleta Athari Kubwa Nchini Pakistan, Watu Zaidi ya 1000 Wapoteza Maisha

  Waziri wa hali ya hewa nchini Pakstani Sherry Rehman amesema kuwa mafuriko yanayondelea nchini humo yameleta hasara kubwa ambapo...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Upelelezi Ufanyike Kabla Ya Kuwekwa Mahabusu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa...

READ MORE

Breaking News: Mahakama ya Juu Kenya Yaamuru Kura za Urais Kuhesabiwa Upya

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imeamuru kuhesabiwa upya kwa kura za urais katika vituo 15 kote nchini humo, zoezi ambalo...

READ MORE

Ushirikina Wampeleka Jela Mzee wa Miaka 60, Mahakama Yatoa Adhabu Kama Fundisho

KATIKA kutoa fundisho na kukomesha vitendo vya kishirikina vinavyobabisha migogoro ya kifamilia na Jamii na kupelekea mauaji mwendesha mashtaka wa...

READ MORE

Maajabu ya Samaki mwenye Uwezo wa Kuzalisha Umeme Kutoka Msitu wa Amazon

SAMAKI anayejulikana kwa jina la kingereza Electric Eel anayepatikana katika mto wa Amazon barani Amerika kusini ni moja ya Samaki...

READ MORE

Askali Polisi Achomwa Mshale na Mtu Mmoja Aliyegoma Kuhesabiwa Sensa Mkoani Dodoma

ASKARI polisi wa kituo cha Mrijo wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Konstebo William Werema amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa...

READ MORE

Maajabu ya Magari ya Elon Musk Yanayotumia Umeme na Yanayojiendesha Bila Dereva

KAMPUNI ya magari ya Tesla inayomilikiwa na Tajiri namba moja duniani Elon Musk, Ndio kampuni ya kwanza kuwa na magari...

READ MORE

Takribani Watu wapatao 18 Wamefariki kwa Kupigwa Risasi Nchini Madagascar

POLISI nchini Madagascar walilazimika kutumia risasi ili kutawanya waandamanaji ambao walikua na gadhabu baada ya mtu mwenye ulemavu wa Ngozi...

READ MORE

Pulisic Achukia Kuwekewa Kigingi Dili Lake la Kutoka Kwa Mkopo Chelsea

JUHUDI za Christian Pulisic kuondoka Chelsea dirisha hili la usajili wa majira ya joto zimezuiwa na klabu hiyo. Winga huyo...

READ MORE

Zoran Maki Afurahia Muunganiko wa Safu ya Ushambuliaji ya Chama, Phiri na Okrah

KOCHA MKUU wa Simba Zoran Maki amefurahia muuganiko wa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Clatous Chama, Augustine Okrah na Moses...

READ MORE

Yanga Yapigwa Faini ya Shilingi Milioni Moja na Laki Tano (1,500,000) Ligi Kuu Bara

Klabu ya Soka ya Yanga, imepigwa faini ya shilingi milioni moja na laki tano (1,500,000) baada ya kukutwa na hatia...

READ MORE