×

Waziri wa Elimu: India Itasaidia Tanzania Kuanzisha Taasisi ya Kiteknolojia

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Apongeza Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto CCBRT- Msasani Dar es Salaam

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepongeza jitihada na ubora wa ujenzi wa jingo la Mama...

READ MORE

Manara Amuangukia Rais Karia Akili Kukosea Kama Binadamu, Aomba Yaishe

MSEMAJI wa Yanga Haji Manara amemuomba msamaha Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na tukio lililotokea Jijini Arusha katika Uwanja...

READ MORE

Droni Zanaswa Zikisafirisha Dawa za Kulevya Nchini Hispania, Zinabeba Hadi Kilo 200

JESHI la Polisi nchini Hispania wamekamata droni tatu zisizo na rubani za kutumiwa chini ya maji zilizotengenezwa kusafirisha dawa za...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo ya Mtihani wa Ualimu (DSEE) 2022, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu kwa mwaka 2022 ....

READ MORE

Injinia Hersi Anazungumza na Waandishi wa Habari Muda Huu, Anaelezea Malengo Yake Kama Rais-Video

MGOMBEA Urais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amezungumza na wanahabari akielezea malengo na mikakati yake endapo atachaguliwa...

READ MORE

Breaking: Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu Yatangazwa, Yatazame Hapa

  BARAZA la Mitihani la Tanzania leo tarehe 5/07/2022 limetangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2022....

READ MORE

Massanza: Habibu Kyombo Aliomba Kuvunja Mkataba na Taratibu Zote Zilizingatiwa

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Singida Big Stars iliyo na maskani yake mkoani Singida Hussein Massanza amesema...

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Jengo la Mama na Mtoto Ccbrt Msasani – Dar Es Salaam-Video

RAIS Samia leo Julai 5, 2022, amefika na kuzindua jengo jipya na la kisasa katika hospitali ya CCBRT ambapo amepata...

READ MORE

Mchezaji Ligi Kuu Uingereza Atiwa Nguvuni Kwa Tuhuma za Kubaka, Polisi Watoa Tamko

MCHEZAJI mmoja wa Ligi Kuu ya Uingereza ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiusalama ametiwa nguvuni na maafisa wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Nafasi ya Kazi KCB Bank Tanzania, Retail Banker

Retail Banker Job Summary: Develop new and grow business banking propositions for small and medium enterprises as well as personal...

READ MORE

Barcelona Yakamilisha Usajili wa Christensen pamoja na Kessie, Wote walikuwa Wachezaji Huru

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imekamilisha usajili wa wachezaji Andreas Christensen beki wa kati aliyemaliza mkataba wake akiwa na...

READ MORE

Man City Yatangaza Usajili wa Kalvin Phillips kwa Mkataba wa Miaka sita

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha dili la kumsaini kiungo mkabaji wa klabu ya...

READ MORE

Meya Afunga Ndoa na Mamba, Ambusu Mdomoni kama Ishara ya Upendo

TUKIO la kustaajabisha limetokea huko San Pedro nchini Ufilipino ambapo Meya wa eneo hilo anayefahamika kwa jina la Victor Hugo...

READ MORE

Azam Yamtambulisha Sopu kama Usajili Mpya, Simba na Yanga Zatajwa Kuambulia Manyoya

KLABU ya Azam imemtambulisha kiungo mshambuliaji Abdul Seleman Sopu kama mchezaji wao mpya akitokea Coastal Union ya Tanga. Sopu ambaye...

READ MORE

Fiston Mayele Amkaribisha Morrison Yanga, Amuweka Viwango vya Ulaya

STRAIKA wa Klabu ya Yanga ambaye ni raia wa Congo DR, Fiston Kalala Mayele amemkaribisha aliyekuwa staa wa Simba Sc,...

READ MORE

Eriksen Akubali Kujiunga na Manchester United, Asubiri Kufanyiwa Vipimo vya Afya

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Brentford ya nchini Uingereza Christian Eriksen amekubali kujiunga na miamba ya soka nchini Uingereza klabu...

READ MORE

Dembele Kukosa Vipimo vya Afya, Maandalizi ya Msimu Mpya na Barcelona

WINGA wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania raia wa Ufaransa Ousmane Dembele anaripotiwa kukosa maandalizi ya msimu pamoja na...

READ MORE

Yanga Wana Jambo Zito, Wanazungumza na Wanahabari Muda Huu-Video

VIONGOZI wa Klabu ya Yanga wamezungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya klabu hiyo ya Jangwani 

READ MORE