Pendezesha Nyumba, Ofisi Yako na #PaziaHouse - Global Publishers


Imewekwa na on February 26th, 2017 , 04:33:57pm

Pendezesha Nyumba, Ofisi Yako na #PaziaHouse

PAZIA HOUSE ni tunauza mapambo (vifaa) vya ndani ya nyumba, maofisini, mahotelini, ubalozini, makanisani, mashuleni pamoja na vifaa vya kupamba kumbi kwa ajili ya sherehe za haeusi, ubarikio, graduation.

Tunatoa huduma hii kwa ukanda mzima wa Afrika Mashariki na kukuhakikishia asilimia 100 ya ubora wa vifaa vyetu.

Toa order yako sasa tukuletee ulipo.

Kwa mawasiliano/bei ya vifaa vyetu Bofya ==> PAZIA HOUSE

 

 

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana