The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Ndege Mpya ya Arsenal Usipime, Jionee Mwenyewe!

arsenal_revealed_their_incredible_new_emirates_airbus_a380

LONDON, Englang

UKISIKIA kufuru ndiyo hizi. Arsenal imetambulisha ndege mpya ambayo itakuwa inaitumia kusafiria kwenda kwenye mechi zake za ugenini za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

arsenal_s_instagram_boasted_squad_goals_alongside_a_snap_of_thei-aNdege hiyo ni ya kifahari na ina kila kitu kinachohitajika ndani. Klabu hiyo iliionyesha ndege hiyo kwenye Instagram wiki iliyopita, aina ya Emir­ates Airbus A380 nje ikiwa im­epambwa na picha za mastaa watano wa timu hiyo; Hector Bellerin, Olivier Giroud, Santi Cazorla, Alexis Sanchez na Mesut Ozil.

arsenal_also_posted_a_picture_of_alexis_sanchez_on_the_plane-aNdani ya ndege hiyo, kila mchezaji ana kitanda chake huku wakiwa wamewekewa anasa kibao, zikiwemo chaneli za televisheni 2,500 na kila mchezaji ana TV yake.

each_player_will_have_their_own_area_with_an_entertainment_syste-aNdani kuna baa ya kisasa yenye vinywaji vya kila aina, vyoo na mabafu lakini pia maz­ingira mazuri ya kukaa.

arsene_wenger_speaks_to_the_media_ahead_of_his_side_s_fa_cup_thi-aThe Gunners wataipanda ndege hiyo kwa mara ya kwan­za watakaposafiri kuifuata Bayern Munich mwezi ujao.

arsenal1 dqp_bem_230316airbus_20jpg each_player_will_have_their_own_area_with_an_entertainment_syste-a emirates-a380 nintchdbpict000174162741 nintchdbpict000288272648 nintchdbpict000292441567 nintchdbpict000292441597 nintchdbpict000292441621 olivier_giroud_is_one_of_the_players_plastered_on_the_side-a the_plane_boasts_a_fully_functioning_bar_and_seating_area_for_th-a there_is_also_a_shower_spa_on_the_plane_where_arsenal_s_stars_wi-a

Comments are closed.