The House of Favourite Newspapers

Porsche na Boeing Yaungana Kutengeneza Magari Ya Umeme Yanayo Paa

MAKAMPUNI ya utengenezaji magari Porsche na Boeing yameungana kutengeneza magari yanayotumia umeme na yanayo paa angani kwaajili yakuwasaidia watu wenye pesa wanapokuwa kwenye foleni barabarani. Mradi huo umepewa jina la VTOL yaani Vertical takeoff and landing, na ndio makampuni ya mwisho kutangaza ishu kubwa na mradi wenye Risk kama huu

Makampuni hayo yamesaini makubaliano yasiyomagumu ya jinsi gani watakavyoweza kulifanikisha suala hilo na hawana mkataba unaowaunganisha pamoja.

Comments are closed.