The House of Favourite Newspapers

Pretty Kind: Diamond Simtaki, Hawezi Kunikataa -Video

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’,  ambaye anatamba na ngoma yake ya Niwe Wako, amepiga stori na Global TV na kuzungumzia mambo mengi kuhusiana na muziki wake na maisha yake nje ya muziki. Katika mahojiano hayo amefunguka kuwa yeye ni mzuri na mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz hawezi kumkataa kama akitaka kuwa naye kwenye mahusiano.

Comments are closed.