Queen Elizabeth Miss Tanzania Mpya (Picha + Video)

Mshindi wa Miss Tanzania 2018 ni Queen Elizabeth (katikati) akiwa  na mshindi wa pili, Nelly Kazikazi (kushoto) na mshindi wa tatu, Sandra Giovinazzo.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto (kulia) akimvisha taji mshindi wa Miss Tanzania 2018,  Queen Elizabeth.

Mashabiki wakifuatilia mchakato wa kumpata Miss Tanzania.

Warembo wakiwa stejini wakati wa kumtafuta malkia wa shindano hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mngereza, akiongea.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, akiongea jambo katika hafla hiyo.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto akiongea jambo.

Queen Elizabeth akiwa kando ya gari alilopewa, likiwa zawadi ya ushindi wake.

 

MREMBO Queen Elizabeth ndiye mshindi wa taji la Miss Tanzania 2018 baada ya mchuano mkali uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi  wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Mshindi huyo kutoka Kinondoni, Dar, alifuatiwa na Nelly Kazikazi, ambapo mshindi wa watu ni Sandra Giovinazzo.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

 


Loading...

Toa comment