Rais Ben Ali Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Tunisia, Zine Abidine ben Ali aliyeitawala nchi hiyo kwa zaidi ya miongo miwili amefariki dunia uhamishoni nchini Saudi Arabia.

Habari hizo zimetangazwa na wakili wake. Zein Alabidini ben Ali aling’olewa madarakani kufuatia vuguvugu la wapenda demokrasia nchini humo la mwaka 2011.


Loading...

Toa comment