Leo Julai 6, 2020, Rais Dkt. John Magufuli atawaapisha viongozi wateule wafuatao:-
1. CP. Thobias Andengenye Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
2. Mhe. Dkt. Philemon Sengati Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
3. Bi. Mariam Mmbaga kuwa katibu Tawala Mkoa wa Simuyu.