The House of Favourite Newspapers

RC Gambo Akicheza ‘Kwangaru’ ya Harmonize! – Video

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, jana aliongoza maelfu ya wananchi mkoani humo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo shamra shamra zilifanyika katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid.

Wafanyakazi wa serikali na makampuni mbalimbali binafsi walijumuika pamoja kusherehekea siku hiyo.

Sherehe hizo zilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii chipukizi mkoani humo walioimba remix ya wimbo wa Harmonize ‘Kwangaru’ ulioteka watu waliopo eneo hilo, akiwemo RC Gambo ambaye aliinuka kwenye kiti na kwenda kuwatunza pesa huku akicheza wimbo huo.

VIDEO: TAZAMA SHUGHULI HIYO

Comments are closed.