The House of Favourite Newspapers

RC HAPI, DC IRINGA WACHANANA UKWELI JUKWAANI ‘WASAFI FESTIVAL IRINGA’

LILE shangwe la Wasafi Festival 2018, baada ya kuunguruma kwa kishindo mkoani Mtwara ilifuatia zamu ya Iringa ambapo tamasha lilifanyika Ijumaa ya Novemba 30. Diamond na timu yake nzima ya wasanii waliopafomu Iringa, walipokelewa kwa shangwe na wakazi wa ji huo na uongozi wa mkoa akiwemo mkuu wa wilaya hiyo, Richard Kasesela ambaye kwa ujumla alimpongeza Diamond kwa kuandaa tamasha kubwa kama hilo.

Comments are closed.