The House of Favourite Newspapers

ROMA “STAMINA Ni Mzuri/ Tutawainua Ili Wapate Timu Kubwa” – Video

TIMU Rotasm imecheza mechi ya Kirafiki dhidi ya Mbagala United lengo ikiwa ni kuwaweka watu karibu ili kuhuhuria kwa wingi katika tamsha la Kufunga Jumla Jumla Dar Live siku ya mkesha wa mwaka mpya ambayo itawakutanisha timu Rostam. Roma, Stamina na Maua sama watafunga jumla jumla katika ukumbi wa burudani Dar Live.

Comments are closed.