The House of Favourite Newspapers

RPC Muroto: Madereva Dodoma, ‘Watapata Tabu Sana’! – Video

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limeendesha msako mkali wa magari ya abiria na mizigo pamoja na madereva wanaovunja sheria na taratibu za usalama barabarani katika ambapo yamekamatwa magari yenye makosa mbalimbali.

 

Akizungumzia msako huo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gires Muroto amesema kwamba kinachofanyika sasa siyo kuwatoza faini tena, bali ni kuwafikisha mahamani wamilki wa magari hayo na maderava wanaokiuka sheria za usalama barabarani lengo likiwa ni kuthibiti ajali za barabarani mkoani humo.

 

VIDEO: MSIKIE MUROTO AKIGUNGUKA

Comments are closed.