The House of Favourite Newspapers

Sakata la Tiketi za Mwendokasi, Maxcom Waishtaki UDA-RT

Kampuni ya Maxcom Africa PLC imeeleza kuwa, imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kampuni ya UDA-RT inayotoa huduma ya usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi, kutokana na kampuni hiyo kushindwa kulipa gharama za uendeshaji, uwekezaji na stahiki za wafanyakazi.

Kwa upnde wao, TTCL wametoa kauli hii.

Aidha, leo Aprili 25, 2018 UDA-RT imerudisha mfumo wa zamani wa kutoa tiketi za Kielektroniki kwa wateja wake wanaotumia usafiri huo.

Comments are closed.