The House of Favourite Newspapers

SAMSUNG YAZIDI KUJITANUA BONGO

Mkurugenzi wa Samsung Afrika, Hong Seok akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kushoto ni Mkurugenzi wa duka hilo, Happy Grayson.Watumiaji wa bidhaa za Samsung, leo wameendelea kusogezewa huduma baada ya Kampuni hiyo kufungua duka jipya la bidhaa zake mbalimbali, katika makutano ya Sanamu ya Sskari Posta jijini Dar es Salaam ambalolimepewa jina la Samsung Askari Samora.

Mshereheshaji wa hafla hiyo, Taji Liundi (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi wa Samsung hapa nchini, Suleiman Ahmed.

Duka hilo lenye bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo ikiwemo simu, majokovu, majiko, vipoza hewa ‘air condition’ televisheni, pasi na nyinginezo.

Wanahabari kazini.

Katika uzinduzi huo Mkurugenzi wa duka hilo, Happy Grayson amesema duka hilo litauza bidhaa za Samsung Orijino na kila mnunuzi atapata punguzo la asilimia tano.

Mkurugenzi wa Samsung Afrika akilikagua duka hilo na mkurugenzi wake Happy.

 

Mmoja wa wafanyakazi wa duka hilo akiwapa maelekezo waliojitokeza kwenye ufunguzi huo.

 

Wakiendelea kukagua bidhaa mbalimbali.

 

Muonekano wa duka hilo kwa nje.

 

Jamaa wakioneshana tv za kisasa dukani hapo.

 

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.