Fahamu Ujio Mwingine wa Muvi ya ‘Game Of Throne’…. (VIDEO)
KWA wapenzi wa muvi na series za ‘Game Of Throne’, wamiliki wake wamesema zitarejea tena hewani mnamo Aprili 2019 ambapo imetangazwa kuwa itakuwa imefunga stori nzima ya mtiririko huo kwa kuja na episode sita tu.
Tazama Trailer
Comments are closed.