Serikali yatoa picha rasmi ya rais wa awamu ya tano
Picha hizo zinatakiwa kutundikwa katika ofisi zote za Serikali, Taasisi za Umma, Mashirika na Ofisi binafsi. Kila ofisi inatakiwa iwe na picha ya Mhe. Rais pamoja na Baba wa Taifa.
Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Idara ya Habari(MAELEZO) ndio yenye Haki miliki ya picha hiyo.