The House of Favourite Newspapers

Shamra za Krismas zilivyopamba moto Dar

0

1.Taswira ya baadhi ya mitaa ya katikati ya Kariakoo, Dar ilivyofurika umati wa watu.
7.Harakati za hapa na pale zikiendelea katika mitaa ya Msimbazi, Kariakoo.
3.Baadhi ya wakazi wa Dar wakichangamkia kununua nguo za sikukuu kwenye mitaa ya Kongo na Msimbazi.
2.Barabara ya Msimbazi ambayo imejengwa na kampuni ya ujenzi ya Strabag ilivyoonekana kufurika watu kwa kuuzia bidhaa chini.
6.Hali halisi ya maeneo ya kariakoo ilivyokuwa.Harakati zikiendelea katika barabara ya Msimbazi, Kariakoo.
5.4.Hali halisi ya maeneo ya mitaa ya Kariakoo ilivyokuwa kila mahali.

ZIKIWA zimebaki siku mbili waumini wa dini ya Kikristo duniani kusherehekea sikukuu ya Krismas ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, leo kwa wingi wao, wameonekana wakifanya manunuzi ya nguo na bidhaa mbalimbali za sikukuu katika mitaa ya Kariakoo.

Kamera yetu imefanikiwa kunasa baadhi ya picha zinazoonesha wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakiwa katika shamrashamra za manunuzi na kusababisha mitaa kutokupitika kwa urahisi kutokana na msongamano wa watu.

(NA DENIS MTIMA/GPL)

Leave A Reply