The House of Favourite Newspapers

SHUHUDIA LIVE PRINCE HARRY NA MEGHAN WAKIFUNGA NDOA

BOFYA HAPA KUSHUHUDIA LIVE NDOA YA Prince Harry na Meghan

 

Gari lililombeba bibi harusi likiwasili kanisani.

HATIMAYE shughuli ya ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle imeanza katika Kasri la St George, Windsor, jijini London huku maelfu ya watu wakiwa wamefurika kushuhudia tukio hilo.

Prince Harry na best man wake ambaye ni kaka yake, Prince William.

 

Malkia Elizabeth II baada ya kuwasili kanisani kushuhudia ndoa ya mjukuu wake..

 

Mashuhuda wakiwa wamekusanyika nje ya kanisa hilo na pembeni mwa barabara.

 

Meghan akiingia kanisani.

 

Staa wa tenis, Serena Williams akiimba na waumini wengine wakati wa idaba ya ndoa hiyo.

 

Comments are closed.