The House of Favourite Newspapers

Simba SC Yaifunga Yanga SC na Kutinga Fainali

simba-na-yanga-5 ZANZIBAR: Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga Klabu ya Yanga kwa mikwaju ya penati 4-2 wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, na kufanikisha kutinga fainali za kombe hilo ambapo itakutana na Azam FC siku ya Ijumaa.
Mchezo ulikuwa mgumu na kupelekea kuisha kwa sale ya bila kufungana hadi matuta yalipotengwa.

simba-na-yanga-6

Simba

Mkude KAFUNGA
Agyei KAFUNGA
Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa)
Muzamiru KAPATA
Bukungu KAPATA
(WAMEPATA 3, WAMEKOSA 1)
Yanga

 

Dida      KAKOSA (Agyei anadaka hapa)
Msuva     KAPATA
Kamusoko    KAPATA
Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa)
(WAMEPATA 2, WAMEKOSA 1)

Comments are closed.