The House of Favourite Newspapers

SIMBA YAPANGWA NA AL-AHLY, MAKUNDI YAPO HAPA

LEO Ijumaa droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa katika Mji wa Cairo nchini Misri. Simba kutoka Tanzania, ni miongoni mwa timu ambayo imepangwa kundi D.

Simba imepangwa Kundi D lenye timu za Al Ahly ya Misri, JS Soura ya Algeria anayoichezea Thomas Ulimwengu na AS Vita ya DR Congo.

KUNDI A

Waydad
Sundowns
Asec Mimosa
Lobi Star

KUNDI B
Esperance
Horoya
Orlando Pirates
FC Platnums

KUNDI C
TP Mazembe
Ismaily
Constantine
Club African

KUNDI D
Al Ahly
Simba
JS Soura
AS Vita JITATHMIN

Comments are closed.