Simulizi za Shiogongo Live: Siku za Mwisho za Uhai Wangu (Part 1 & 2)

Global TV Online inakuletea kipindi maalum cha Hadithi na Simulizi za Mtunzi Mahiri, Eric James Shigongo zilizo katika mfumo wa sauti (audio).

Tazama LIVE  na kusikiliza sehemu ya kwanza ya pili ya Hadithi ya Siku za Mwisho za Uhai Wangu kupitia Global TV Online, leo Jumamosi, Januari 13, 2017 kuanzia saa 5:00 asubuhi.

SIMULIZI hii pia unaweza kuipata yote kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho katika mfumo wa sauti Bure kupitia Application namba moja pekee Tanzania ya Global Publishers.

Install #GlobalPublishersApp
Android: Bofya Hapa
iOS: Bofya Hapa

BOFYA PLAY KUFUATILIA SIMULIZI HIYO HAPA


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Loading...

Toa comment