The House of Favourite Newspapers

Swahili Fashion Week Yazinduliwa Dar

Muasisi na mmiliki wa Swahili Fashion Week,  Mustafa Hassanali akizungumza na waandishi kwenye uzinduzi wa Swahili fashion Week yatakayofanyika mwezi ujao.
Raisi wa TAFCA,  Adrian Nyangamala akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa sanaa ya mitindo kwenye uzinduzi wa maonyesho ya 12 ya Swahili Fashion Week.
Balozi wa Italia nchini (wa pili kushoto) Mheshimiwa Roberto Mengoni akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa sanaa ya mitindo kwenye uzinduzi wa maonyesho ya 12 ya Swahili Fashion Week.
Uzinduzi wa Nembo mpya ya maonyesho ya Swahili Fashion week mwaka 2019 ukifanyika.

Baadhi ya waandishi wa habari na wadau wa mitindo katika uzinduzi wa maonyesho wa Swahili Fashion Week wakichukua tukio hilo.

 

Comments are closed.